Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Braza acha masikhara aisee, inamaana uyu ni model wa nguo za kiume au ndo shoga mwenyewe. Bora nitembee kifua wazi sio icho kitisheti. Iyo suruali bora nivae gunia
huyo sijui ila design hiyo nimezikuta dukani
 
Uchoko huo kuvaa nguo za kipuuzi hizo, siku hizi hata jeans za kishoga tu ndio zimejaa madukani humo. Hadi cadet nazo et zinavutika
Mkuu Ushoga unapigiwa chapuo kwa 120 speed per hour, ni hatari mno nashawishika kuamini itafika kipindi ardhi itatawaliwa na mashoga na kinadada pekee, vidume vya ukweli ndo vinatoweka mmoja mmoja[emoji21] [emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukifa sisi nawasiwasi sana na kizazi kifuatacho baada yetu
 
Naomba kupata hiyo historia tafadhali, napenda kujifunza vitu vipya kila siku.... kama hutojali.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nazichukia sana hizo nguo...nowdays zaidi napendelea kununua vitambaa kushonesha suruali old models

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa wa aggrey kariakoo walikua wanauza surual nzur za mtumba za kiume, pita pale sasa! Visuruali wavibana chini, ushoga mtupu.
 
kuna mmoja nimemuona jana anakatako halafu kavaa jeans kachomekea yani jamaa alikuwa huku nyuma anatuacha hoi .. ila mwanaume kama natako achana na nguo za kubana na vichupa huwa mnatikisa nyuma sana
Umenikumbusha msambwanda wa bashite
 
Mimi Niko kwenye mchakato was kurudi kwenye golole tu kama Marehemu Sapi Mkwawa....sipendi ujinga was kuonesha indemoni mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…