Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Vyuo vikuu vya Kimagharibi navyo vinachochea sana ushoga maana mtu akihitimu anavalishwa gauni...
 
Tunaishi nyakati za hatari Sana!
Tumrejee Mungu

sent from servant of God
 
Ss unashangilia au unashauri?! Kuna tatizo kwenye kupigwa jeki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo ni janga lingine, afadhali Uganda wenzetu wameanza kushughulika nalo mapema.
 
Inabidi tujue na masuala ya wanaume kuvaa vyupi, kyupis. Huwa napata hisia kuna walakini ndani yke.
 
Kwa mwanaume anayejitambua ni lazima awe na mipaka hasa katika staili za mavazi. Ukiona mwanaume anavaa kila aina/staili ya nguo inayoingizwa sokoni jua hapo pana shida.
Mfano mimi vile visuruali vinavyobana chini nilishasema sivivai hata iweje...
Ni muhimu kuwa na mipaka katika mambo mbalimbali.

Watu wengi wasichokijua ni kuwa aina ya mavazi unayovaa inaweza kufanya jamii ikakupa 'identity' hii au ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha haha yule wajana nilimuangalia pale itv sikummaliza sababu yani kabinuka .. hadi nikatamani nimbadilishe flat yangu anipe ule mbinuko
Aisee siku hizi vijana wa kiume wana changamoto sana, unaweza kukuta huo mbinuko wake unatumiwa na watu,Kama wewe mdada ulimtizama kwa jicho la tofauti maana yake kuna wanaomuangalia kwa tamaa mbaya, si ajabu na yeye amevaa kama utambulisho au kivutio.
 
Siyo nguao tu hata maumbile ya vijana wengi wa kiume miaka hii ni ya kike,unakuta mkaka anatako hips paja lainiiiiii,hadi vimistari nyuma ya goti,km nanii alivyo duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe kwa100%.
Nilikia naangalia raba simple za kiume kwa jinsi zilivyochongoka kama za Kike. Nilikua napata shida sana.

Fani ya umodel na udizaina imevamiwa na Mashoga wengi sana. So sad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…