Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Habari za humu ndani wakubwa na wadogo .

Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda.

Wakubwa naombeni ushauri kuhusu hilo tukio maana nimezipokea nguo ila nafsi yangu NZITO sana kuendelea KUZIVAA.
 
Kwa usalama wa afya yako,akili yako,mwili wako na roho yako,naomba tia moto hizo nguo kwanza hata ndani zisiingie.
 
Piga kiberiti nguo zishafanyiwa mauzauza. Usibishane na nafsi yako, ilikuwepo kabla ya kuzaliwa kwako
 
Hata ndani zisiingie zigawe zimeshafanyiwa featuring hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…