Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

Habari za humu ndani wakubwa na wadogo .

Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda.

Wakubwa naombeni ushauri kuhusu hilo tukio maana nimezipokea nguo ila nafsi yangu NZITO sana kuendelea KUZIVAA.
Yaan utakutana na kimavi ya hatari hutaamini
 
Habari za humu ndani wakubwa na wadogo .

Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda.

Wakubwa naombeni ushauri kuhusu hilo tukio maana nimezipokea nguo ila nafsi yangu NZITO sana kuendelea KUZIVAA.
Yani mkuu picha yako uliyoiweka kabla ya kusoma nilifikili wewe ni Fe.
Sorry kwa hilo
 
Habari za humu ndani wakubwa na wadogo .

Week iliyopita mke wangu wa ndoa amebeba vitu vya ndani bila hata kuniambia (kubeba vitu sio shida ) shida inakuja Why ameondoka na nguo zangu angalia zilikuwa kwenye begi langu la nguo na amekaa nazo week nzima jana ndio zimeletwa na bodoboda.

Wakubwa naombeni ushauri kuhusu hilo tukio maana nimezipokea nguo ila nafsi yangu NZITO sana kuendelea KUZIVAA.
Au alipeleka kwa mwamposa?
 
Hana mdogo wake wa Kiume? Ndo umpe huyo bila mke kujua. Au tafuta Kichaa mmoja mpatie.
 
Wanawake na uganga ni mapacha was kufanana.
Mwanetu hata mlango zisivuke piga moto
 
Back
Top Bottom