Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

Mzee baba kuna vitu mtu anatakiwa atumie common sense tu...
Ushauri ila nimejifunza kitu tayari ni kuzitia moto .nilijaribu kumuuliza akinipa majibu sahihi zaidi ya kunikatia simu
 
Ukiona hadi Wanawake wenzake hapa Janvini wanashauri uzitie moto hizo nguo usichukulie poa.

Hizo nguo itakuwa ameshazifanyia shirki, vunja kibubu ukanunue nguo nyingine tu.
Chief tokea jana naziangalia tu .
 
Kwa hakika hakuzichukua kwa bahati mbaya. Lazima kuna nia ovu hapo. Suluhisho ni kuzichoma moto tu. Usione hasara kuzichoma, vinginevyo ukizivaa utapata hasara zaidi ya kuzikosa.
 
Kuziingiza ndani kwako pia ulikosea ! Anyway zichome pamoja na Hilo bag,, !

Pesa zinatafutwa no worries
 
Kwa hakika hakuzichukua kwa bahati mbaya. Lazima kuna nia ovu hapo. Suluhisho ni kuzichoma moto tu. Usione hasara kuzichoma, vinginevyo ukizivaa utapata hasara zaidi ya kuzikosa.
Mbaya zaidi nilitegemea zije jpili ambayo ndio siku anakuwa off ila zimekuja j3 . Jpili alishindwa kuzileta au siku ile ile kama alichukua KWA bahati mbaya
 
Muongezee nauli bodaboda huyohuyo azirudishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…