Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?
Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.
Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi