Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Huyu shetani mlomchagua si afe tu kuliko kuuwa wengine.Ee Mungu mpe kilema cha maisha,mpe ukoma akose miguu,mikono na midomo ikatike kinywa kibaki wazi ashindwe kusema.
Hujui hata kuomba
 
Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?

Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.

Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi
Anatafuta umaarufu
 
Ungempa taarifa kimyakimya ili muwavizie na kuwadhibiti hao "watatu" chini kwa chini, baada ya kubanwa wangewapa taarifa za kutosha. Kisha baada ya hapo mnaweza kuwaachia au "mengineyo". Anae watuma atajua kua sasa ni jino kwa jino.
Watatu ni wachache tu, cheni inaweza kuwa hata na watu 100...

Imagine tukio la lissu jinsi wale jamaa walivyochomoka katika eneo lenye ulinzi mkali, ni dhahiri wao pia walikuwa wanalindwa...hivyo hata Hawa watatu wanalindwa pia
 
Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?

Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.

Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi
Hao wasio julikana haliwezi kuguswa na polisi. Ni kundi lililo undwa na Magufuli kwa ajili ya kunyamazisha wote wanao pingana na Magufuli wakiwa na hoja zisizo jibika.
 
hawa kenge ni wa kunyonga mtaani...
kenge watatu wanasumbuaje jamii ?
bunduki kitu gani ?.
na yule kuwadi anayewatuma mbona issue yake nyepesi. .
 
Address: Haamentie 48b, 00500, Helsinki, Finland; Mobile: +358414722340
Anafikiria ni mbali sana?!!!
 
Ngurumo na Mange wametofautiana Jinsia tu lkn akili zimefanana.

Tangu atudanganye swala la Mtulia kuwa anaumwa sana.. Huyu jamaa namuona ni bonge la kiazi
 
Yeye yuko Helsinki anayajuaje mambo hayo wakati hata sisi hatujui mambo hayo.
Nimeuliza hilo swali hapo juu!.
Lakini sidhani kama ni usalama!.
Na Yule mange naye utasema alikuwa usalama?!
Hao wanatumika kwa manufaaa ya wengine
 
Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
Inawekezana wewe [emoji196] ni kati ya hao wa3 kwenye noah[emoji200]
Umeshtukiwa unatokwa povu kubwaaa.
Angalia nyuma yako unafatiliwa wewe[emoji196] [emoji83]
 
Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?

Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.

Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi

Mkuu

Taifa lipo rogue..bila kuweka wazi kila mtu akajua,ni hatari zaidi kwa mnyonge ambae analengwa na hili tembo..

Tekniki hapa ni ku-pre empty hizo attacks kabla hazijatokea...

Ikishakua wazi hivo ishu inahama kua personal na kua ishu ya public..

Na hoja yako kua dawa ni kukamata hao wauaji mmoja mmoja halipo mkuu maana violence ipo owned na wenye nchi yao mtu mwingine ukifanya ni kosa,plus ukiachawenye nchi yao wengine wote tuliobakia ni wanyonge huwezi pambana na waliotumwa..

Pia waliotumwa ukiwauwa utaenda kujibu mahakamani,ila wao hawajibu kwa mtu...ujanja ni ku pre-empty tu kwa kuweka public!

Tekniki yako ya kimya kimya ni kama wangekua na uwezo sawa....ni kama tembo na sisimizi mkuu!
 
Ungempa taarifa kimyakimya ili muwavizie na kuwadhibiti hao "watatu" chini kwa chini, baada ya kubanwa wangewapa taarifa za kutosha. Kisha baada ya hapo mnaweza kuwaachia au "mengineyo". Anae watuma atajua kua sasa ni jino kwa jino.
Inabidi ifikie kipindi sasa tumalizane tu chini kwa chini. Watu wanawapa sana sifa hawa wasiojulikana wakati wanaweza wakakutana na kitu ambacho hawakukitegemea kabisa. Ifike muda tuamue moja tu
 
Hahahahahaha comedian huyu hatari bado utwambie na zitto ana fatiliwa na gari gani hahahaha...
Wahenga walisema,"mcheka kovu,asiyefikwa na jeraha". Siku yatakapokutokea ndipo utajua haya mambo sio ya kuyachekea kama ufanyavyo sasa.
 
"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Ndo kazi uliyotumwa kufanya Finland???
 
Back
Top Bottom