Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Anazingua sana!
Nafuu nagebadili title Na kujiita mwanahabari wa ufipa!.
Mtu anasema yupo huru halafu anatoa habari za kutoka upande mmoja?!?!

Hawa chandema nao wanazingua!..
Soma Uhuru hujashikwa mdomo na mikono
 
Huyo siyo wa kubishana naye mkuu!.
Niliona anaanza kushobokea comments zangu!. Nilimpa jibu moja KAMWE hatosahau Na sidhani kama atakuwa an qot comments zangu!.

Hebu usiwe una mjibu mpotezee tu!.
Maana kazidi kucomment mambo ya kijinga yasiyo Na maana
Poa Poa kamanda

Ova
 
Habari Bila ushahidi! Inaukakasi!

Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?
T494DDU[emoji61] [emoji379] [emoji83] [emoji196]
 
"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".

Samahani naomba kuuliza hivi mnapokuwa mnaandika haya ' Mitandaoni ' mna uhakika kwamba hao ' Wasiojulikana ' wao siyo Watumiaji wa Mitandao na labda pia baadhi yao kama siyo Wote labda ni Members wenzetu humu JamiiForums? Na je mnadhani hapa mnakuwa mnawasaidia hao mnaowataarifu au ndiyo Kwanza mnawafanya wawe ' target ' nzuri hao wanaowatafuta?

Wana CHADEMA ni Marafiki na Watani zangu wazuri tu ila nadhani kuna mambo mengine huwa mnayaibua yenye ' ukakasi ' mkubwa sana masikioni mwa wenye ' akili ' timamu ambayo sidhani kama yawatasaidia na kuwaleteeni Tija katika Siasa zenu. Kama kuna Kitu ambacho CHADEMA kwa sasa mnakiweza na kufanikiwa nacho ni ubunifu na propaganda zenye mrengo wa Kujiimarisha zaidi Kisiasa kana kwamba Uchaguzi Mkuu ujao wa 2020 ' Kigezo ' Kikuu cha Urais ni kuwa mwongo mwongo, mfitini, mbea na mchochezi.

Yangu macho tu.
 
Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike

Hata Lissu mlisema hivyohivyo.

Wauaji wakubwa nyinyi, ila siku za ibada mnakaa mbele kabisa na makamera juu.

Mungu atawalipa kwa matendo yenu.
 
Hahahahahaha comedian huyu hatari bado utwambie na zitto ana fatiliwa na gari gani hahahaha...

Yaliyotokea kwa Lissu yalikuwa Comedy pia, Mkiwamaliza hawa mtaanza kumalizana wenyewe.

Mna roho za kinyama.
 
Hata Lissu mlisema hivyohivyo.

Wauaji wakubwa nyinyi, ila siku za ibada mnakaa mbele kabisa na makamera juu.

Mungu atawalipa kwa matendo yenu.

Huyu muuaji anatakiwa apate kilema kimtese maisha yote,ni shetani huyu
 
D
Hata Lissu mlisema hivyohivyo.

Wauaji wakubwa nyinyi, ila siku za ibada mnakaa mbele kabisa na makamera juu.

Mungu atawalipa kwa matendo yenu.
Dua la kuku hilo. Wauaji mnao wenyewe huko kwa kugombea madaraka. Sisi tumeshayapata na njia nyeupeeeee 2020. Kaeni mdanganywe na kina wavuta bangi Kimambi na huyo bwege mzushi. Jawabu langu ni hiyo attachment ... ni kweli au uongo?
 
"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Mungu ibariki Chadema
 
Inawekezana wewe [emoji196] ni kati ya hao wa3 kwenye noah[emoji200]
Umeshtukiwa unatokwa povu kubwaaa.
Angalia nyuma yako unafatiliwa wewe[emoji196] [emoji83]

Bangi hizo ubongo umechanganyika na mavi output 0
 
Ha ha ha Mara lema kafunguliwa tairi mara Selasini anafuatiliwa sasa mnakuja na kiki mpya ya heche
Haya mambo huwezi kuyaamini mpaka siku ukimkuta mama yako mzazi mtaroni , ccm haijawahi kuwa na rafiki hata kama ungekuwa mwenyekiti wa Taifa , kikwete anatukanwa , kinana ametengwa , Nape chupuchupu kuuawa , ndio uwe wewe mvaa fulana na kofia alizotapeliwa shigongo ?
 
Ifikie kipindi tutangaze vita na hawa watu..iwe jino kwa jino tu hakuna namna..
 
Back
Top Bottom