Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Mmmmh hatare"Mheshimiwa *John Heche* na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".
"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya *Noah Silver T494 DDU*. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia *Chacha Heche* Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Huyo siyo wa kubishana naye mkuu!.Hivi TL alijitengenezea lile Tukio ama?nasubiri jibu najua sahv unasubiria kwa hamu kuskia mshahara umepandishwa!
Ova
Basi sawa JPM mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi maarufu Mei Mosi kitaifa mjini Iringa.Habari Bila ushahidi! Inaukakasi!
Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?
Sasa Na wewe ume comments nini?Basi sawa JPM mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi maarufu Mei Mosi kitaifa mjini Iringa.
Lakini mimi ndiyo niliyemfanya bi mkubwa wako akajifungua wewe nategemea baadaye utatafuta na akili ya bi mkubwa wako imekalia wapi hii ndiyo dunia kijana.Sasa Na wewe ume comments nini?
Au uonekane unajua Na wewe kuandika?
Habari ya JPM imefata nini hapa?!
Kuna WATU akili zenu sijuh mnaziweka wapi!.
Mnashindwa kufikiri .lipi ujibu lipi ukae kimya!.
Umepitwa kufikiri mpaka Na mtt wako wa mwisho!.
Kichwa kikubwa akili NUKTA!.
Huyu mkibosho ni mshamba sanaNgurumoooooo! We ni nouma aisee. Uko Finland ya TZ wayajua kabla yetu?
Watu wema wasioupenda udhalimu wa malaika Jiwe.Hivi Nani anampa taarifa ngurumo?
Unataka evidence gani, picha ya mtu anatekwa au.Habari Bila ushahidi! Inaukakasi!
Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?
Naona nikiendelea kujibizana Na weweLakini mimi ndiyo niliyemfanya bi mkubwa wako akajifungua wewe nategemea baadaye utatafuta na akili ya bi mkubwa wako imekalia wapi hii ndiyo dunia kijana.
Hamna lolote Kama vile mbwa Koko vibogoyoWapinzani amueni moja tu sasa!
Sometimes propaganda nyingi kiongoziUnataka evidence gani, picha ya mtu anatekwa au.
Sasa wanavyompa taarifa Huwa wanafaidika Na nini?Watu wema wasioupenda udhalimu wa malaika Jiwe.
Sasa wewe na bi mkubwa wako nani anayemjua baba yako mbona unamtusi bi mkubwa wako hadharani ninyi watoto wa miaka hii mna akili za namna gani?Naona nikiendelea kujibizana Na wewe
Nitaonekana mpumbavu Na kujishushia heshima yangu humu jukwaani niliyoijenga kwa muda wa miaka 6!.
Pole kijana!. Labda kwa kukuambia kuwa huna hadhi ya kuwa marehemu Mzee wangu!.
Ben Saanane anakunywa chai na marafiki zake vijiweni"Mheshimiwa *John Heche* na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".
"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya *Noah Silver T494 DDU*. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia *Chacha Heche* Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Mkuu, wahusika wanafuatiliwa mawasiliano yaoNi tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?
Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.
Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi
Mimi nimemshangaa huyu mwanahabari wa ufipa hadi nimechoka....Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?