Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Tetesi: Ngurumo: Chacha Heche wale watu wasiojulikana wanakufwatilia kwa gari Number hii T494DDU Noah silver

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
"Mheshimiwa John Heche na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya Noah Silver T494 DDU. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia Chacha Heche Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
 
"Mheshimiwa *John Heche* na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya *Noah Silver T494 DDU*. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia *Chacha Heche* Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Habari Bila ushahidi! Inaukakasi!

Lakin mwanahabari huru mbona habari zako Huwa ni za mlengo mmoja Na wewe unasema upo huru?
 
"Mheshimiwa *John Heche* na Wana Tarime jihadharini. Wale vijana watesi waliokuwa wametumwa Mwanza kuwateka vijana wetu wawili wakawakosa, Saa Saba usiku wa kuamkia leo wameelekea Tarime".

"Ni Vijana watatu wanatumia Gari aina ya *Noah Silver T494 DDU*. Wanafuatilia Press Conference na wanamvizia *Chacha Heche* Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara na mdogo wa John Heche".
Ngurumoooooo! We ni nouma aisee. Uko Finland ya TZ wayajua kabla yetu?
 
Sawa tunashukuru kwa taarifa
Tunaifanyia kazi
Majibu utayapata soon
 
Mzushi tu wewe huna lolote. Hata hii ulitengeneza wewe na kutuaminisha hivyo. Wewe safisha vyoo vya wazungu huko. Tuko ok wanaowatumia wameingia choo cha kike
 

Attachments

  • FB_IMG_1484944703142.jpg
    FB_IMG_1484944703142.jpg
    23.7 KB · Views: 95
yawezekana Ngurumo ni Mange mwingine had I kipindi hiki kipite mambo yatanoga sana
 
Ni tahadhali nzuri ili mtu awe makini. Ila ninashindwa kuelewa, ni kwa nn hizi taarifa wahusika wasipewe kwa siri ili ikiwezekana hao wanaotumwa kuua wadhibitiwe na ikibidi wachomwe moto kabla ya kuleta madhara?

Sasa unatangaza in-public ili iweje, huoni kama hao watu watasitisha mpango wao kwa sasa na kupanga siku nyingine? Huko CDM kuna watu makini sana lakini sijui mnatuonaje, this is rubbish.

Dawa ya hawa wauaji ni kukamata mmoja baada ya mwingine na kuwaua pia kimya kimya, sasa maajabu unaleta hii hbr hapa, ili isaidie nn maana hawa washenzi wataendelea na mauaji hata kama si leo. Naona kama ni upuuzi tu wa bwana Ngurumo ili kutafuta huruma ya wananchi japo naamini kweli alitishiwa kupotezwa otherwise asingekimbia nchi
 
Ungempa taarifa kimyakimya ili muwavizie na kuwadhibiti hao "watatu" chini kwa chini, baada ya kubanwa wangewapa taarifa za kutosha. Kisha baada ya hapo mnaweza kuwaachia au "mengineyo". Anae watuma atajua kua sasa ni jino kwa jino.
 
Ha ha ha Mara lema kafunguliwa tairi mara Selasini anafuatiliwa sasa mnakuja na kiki mpya ya heche
Hivi TL alijitengenezea lile Tukio ama?nasubiri jibu najua sahv unasubiria kwa hamu kuskia mshahara umepandishwa!

Ova
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha comedian huyu hatari bado utwambie na zitto ana fatiliwa na gari gani hahahaha...
 
Huyo jamaa naona anaelekea kuwa kama gazeti la udaku sasa.....Kwa nini asitulie awe anatoa taarifa za kueleweka...

Muda sio mrefu watu watakosa uaminifu kwake.
 
Back
Top Bottom