Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Babu Yako alijitahidi kupanua uelewa juu ya jambo Hilo,

Ingawa pia fikiria hili,

Yesu alipokuwa akienda kule, bahari ilichafuka na walinisurika kuzama,

Na alipowatoa mapepo, wakaomba waingie Kwa nguruwe, nguruwe awapeleke Baharini,

Naona Kuna mahusiano ya mapepo hayo, yalitokea Baharini Kwa asili inaonekana.

Si Kila kitu ni chakula ndugu, kama ambavyo huwezi kula konokono, ndivyo hivyo hivyo Kwa nguruwe. Hukatazwi, akili itumike, madaktari pia wanakataza hii kitu.

Ubarikiwe.
 
Hakuna kitu kama hicho.
Wanyama kama mbwa paka chui au simba wakizaa huwa wanatizama watoto,akiona mtoto ambae hayuko sawa huwa anamuua kwa kumla.
Tena hakuna mnyama anapenda watoto kama nguruwe
 
Sasa ngurue wa kipindi hicho ndio hawa wa sasa hivi.
Kile kizazi kilicholaaniwa kipindi icho kishafutika kqka wew pasua mzigo acha woga
 
Sasa ngurue wa kipindi hicho ndio hawa wa sasa hivi.
Kile kizazi kilicholaaniwa kipindi icho kishafutika kqka wew pasua mzigo acha woga
Kwamba nguruwe wa sasa wamepona uhayawani/ ukichaa?
 
Mbwa mwenyewe akizaa ukichelewa kumpa chakula anakula katoto kamoja kujituliza
 
Nanyi mnaobaka wanenu kisa utajiri mnatofauti gani na huyu nguruwe mwenye nyama pendwa

Acheni kumlaumu ,kama kazi ndogo kuzaa watoto 12 kwampigo ,mkajaribu ninyi ,tunaomfuga akiwa mjamzito anafatiliwa kwamakini
 
Nanyi mnaobaka wanenu kisa utajiri mnatofauti gani na huyu nguruwe mwenye nyama pendwa

Acheni kumlaumu ,kama kazi ndogo kuzaa watoto 12 kwampigo ,mkajaribu ninyi ,tunaomfuga akiwa mjamzito anafatiliwa kwamakini
Leo nimeanzisha ugomvi na Wala nguruwe/ HAYAWANI.
 
Yule mdudu kata KICHWA kitenganishe na kiwiliwili, kaa hata masaa mawili, ukija mgusa anastuka😀
HUU NI UONGO
NARUDIA TENA HUU NI UONGO!
NGURUWE HAWEZI KUTIKISIKA MASAA MAWILI BAADA YA KUCHINJWA.
 
Hapo umeongea,binadamu ni hayawani zaidi, mchawi anakula mtoto,mzazi,ndugu yake...Tena anashea na kundi lake, analala na mtoto wake,anatumia sehemu isiyo sahihi kusex...mnawasema hao viumbe cz hawajitetei
Binadamu nao wanakula watoto wao. Kula watoto ni ishara kuwa kiumbe huyo ana akili.
 
HUU NI UONGO
NARUDIA TENA HUU NI UONGO!
NGURUWE HAWEZI KUTIKISIKA MASAA MAWILI BAADA YA KUCHINJWA.
Mafuta aliyonayo, hayaruhusu Damu kuganda,hivyo Hilo linawezekana.

No research, no right to speak.
 
Nafikiri hapa unamuongelea nguruwe kwa upande mmoja. Nguruwe ( pori na hao wanaofugwa) kama kweli wangekuwa wanakula watoto wao naamini population ingeshuka na kupotea mfano rahisi nguruwe pori. Kula watoto ni jambo ambalo wanyama wengi wanafanya hasa wakiwa na stress wakati kuzaa, nguruwe, mbwa, sungura, panya hili ni jambo la kawaida kwa hawa wanyama hasa wanaozaa mnyama zaidi ya mmoja. Hivyo sii nguruwe tuu anaekula na hili linatokea kwa mmoja mmoja sana, kama mazingira yote yatakuwa sawa wakati wa kuzaa ( stressfree) na akala huyo ni tabia yake na anatakiwa aondolewe au achinjwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…