Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Mkuu Rabbon,

Mimi babu yangu ni mchungaji na tangu udogo wangu nilikuwa namuuliza maswali mengi sana ikanifanya nipoteze kabisa kuamini haya masuala.

Nilishawahi ongea nae kuhusu hii kitu, akaniambia unajua mara nyingi shetani huwa anashambulia kitu ambacho una kithamini sana. Akaanza kwa kusema katika mji wa wagerasi ufugaji wa nguruwe ulikuwa ni kwa sehemu kubwa, hivyo watu wa mji ule walithamini nguruwe kuliko mtu yule aliyeishi pangoni akiteswa na mapepo.

Akaniambia hivi sababu shetani alifahamu kwamba watu wa mji huu wanathamini nguruwe kuliko mtu yule anayeteseka hivyo akamuomba Yesu amruhusu kuwaingia nguruwe wale. Akifahamu kwamba moja, nguruwe hawawezi kuogelea hivyo kwa namna yoyoye watazama ziwani.

Mbili, nguruwe watakapozama watu wa mji ule watachukizwa kwa kupoteza kitu ambacho wanakithamini, hivyo watu wa mji wa wagerasi watamfukuza Yesu asiendelee na kazi yake kwa kusababisha uharibifu wa Mali zao.

Na ndicho kilichotokea,
Nikamuuliza kwahiyo unataka kusema shetani alikuwa smart kumshinda yesu kufahamu tricky yake?

Akanijibu shetani alikuwa nyuma na tricky yake ilikuwa ya hovyo. Akasema mtu yule alipotaka kuongozana na yesu akamwambia wewe baki ushuhudie aliyokutendea Mungu, hivyo kupitia mtu yule wengi wangepata kuamini.

Btw, huwa nikiendaga kanisani sikuhiz naenda kumuangalia mwanangu anavyopiga KINANDA.

Kula nguruwe hana madhara yoyote
Reason aliyokupa mzee(baba mchungaji) ina make sense,though pigs are excellent swimmers! Labda kwa sababu waliingiwa mapepo ndio maana walishindwa kuogelea! Anyways mmenikumbusha nipite Mbeya Pazuri jioni nikale mdudu wakati nasubiri game ya man utd na arsenal! Mdudu for life🍻
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni 🙏
Dogo we vyote kula tu labda achana na Yale mambo yenu ya ugaidi kujitoa muhanga

Kwa kuwa ilinenwa kwenye vitabu vitakatifu "mpende jirani yako kams unavyojipenda"
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni [emoji120]
Siku figo yako ikifeli na ukaambiwa uwekewe figo ya nguruwe ndo utaona umuhimu wa huyu mnyama
 
Una hakika hujawahi kula nyamafu wewe? Halafu hayo makatazo ya kutokula nguruwe et al ni ya Walawi, wewe mhadzabe yanakuhusu nini?
 
Dr Mambo Jambo, dokta wa JF ameshawambia,

Huyo mdudu ni hatari Kwa AFYA.
Huyo mdudu hatari kwa afya alitumiwa na babu hadi wajukuu na vitukuu tunaendelea kumtumia bila tone la shaka, hatutishwi na maneno ya madokta manyau nyau
 
Mwenyezi Mungu ameahidi kutoa kipigo heavy kwa wala nguruwe ,Tena hasa Hawa wamataifa ,

Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.
6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Sasa kama nguruwe anamchukiza alimuumba wa nini?
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni 🙏
Acha wehu
 
Back
Top Bottom