Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Wasabato buana, lakini wenzenu wanapiga sana,nina bahati ya kuwa na rafiki yangu msababto toka kanda ya ziwa na mwanangu mwenyewe Abdi...... yaani hao ndiyo wamenifanya ni yajue machimbo ya kitimoto 😀
 
Mwenyezi Mungu ameahidi kutoa kipigo heavy kwa wala nguruwe ,Tena hasa Hawa wamataifa ,


Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.
6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Hivyo vitu vinavyomchukiza, viliumbwa na huyu anayasema maneno hayo, au na Mungu mwingine?
 
Naanza kudoubt hizi tafiti,

Yaaani paka azidiwe akili na nguruwe!!

Paka waeza mtia ndani ya kiroba ukampeleka na kumtupa hata km 20, atapotea hata mwezi, ila atarudi tu home.

Nguruwe haiwezi tokea hiyo kitu.
Fanya tafiti kupinga tafiti.
 
An
Mbuni ni HAYAWANI/ kichaa,

Anaweza kuficha KICHWA chake ardhini akiamini haionekani na maadui zake,

Aweza pia kuwachenjia watoto wake baada ya kusahau kuwa ni wake nk nk
Aliwa au haliwi huyu mbuni
 
Weeeeeeh ngoja nikuibie SIRI binadamu vibonge wote unaowaona wenye matumbo makubwa na mavichwa kama ng'ombe wakifa roho zao zinarudi kama nguruwe!

Inshort kadiri siku zinavyozidi kusonga na ndivyo navyozidi kuamini, kwamba yule mdudu ni binadamu!
🤔Damu ya binadamu
Figo ya binadamu
Ini la binadamu
Roho ya binadamu mlafi.
Kwahiyo wee ni nguruwe mtarajiwa
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, akaona Bora ajitose Baharini afe.kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni 🙏
Wow mwenyewe hula watoto usipompatia chakula kwa wakati au akikosa chakula,hata nyau hufanya kazi kubwa kuwaficha wanae wasiliwe na nyau wengine,je vipi mafisi na wanyama wengine wa mwituni🫣
 
Mtaandika kwa mabaya kuhusiana na mkuu wa meza hadi mtachoka wenyewe lakini ndio kwanzaaa anazidi kunenepa na sisi tunaendelea kujibweda kwa nyama yake adhimu mujarabu kabisa wala hatujali
 
Mtaandika kwa mabaya kuhusiana na mkuu wa meza hadi mtachoka wenyewe lakini ndio kwanzaaa anazidi kunenepa na sisi tunaendelea kujibweda kwa nyama yake adhimu mujarabu kabisa wala hatujali
Dr Mambo Jambo, dokta wa JF ameshawambia,

Huyo mdudu ni hatari Kwa AFYA.
 
Anayepinga kula Nguruwe kwa nguvu zote anakula tigo kwa mkewe au kwa anakula/kuliwa tigo. Unashangaa...
 
Back
Top Bottom