Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Mleta mada Rabbon wewe unapenda kukaliwa na mapepo?.

Mleta mada unamfahamu kondoo kweli?, kondoo ni moja ya mnyama mjinga sana ila biblia inawaita watu fulani wanakondoo hapo unasemajee?
Kondoo Si Mjinga,

Ni mnyenyekevu, mpole.

Upole Si ujinga
 
Kikubwa ,analika
Hakuna kisicholika, hata paka, fisi wakiungwa wanalika.

Msingi wa HOJA ni kuangalia ikiwa nguruwe ni HAYAWANI/ kichaa, kumla nyama hakuwezi kuambukiza uhayawani Kwa mlaji kiafya, kama Si Yeye, vizazi vijavyo?
 
Huu nao ni utafiti kweli mkuu? Huna tofauti na columbus aliyegundua America
Nguruwe ni HAYAWANI au sio?

Na ikiwa ni hayajawahi/ kichaa, yepi ni madhara yake Kwa mtumiaji kiafya?

Hawezi mwambukiza uhayawani?
 
Hakuna kisicholika, hata paka, fisi wakiungwa wanalika.

Msingi wa HOJA ni kuangalia ikiwa nguruwe ni HAYAWANI/ kichaa, kumla nyama hakuwezi kuambukiza uhayawani Kwa mlaji kiafya, kama Si Yeye, vizazi vijavyo?
Kikubwa hata sisi mimi Muslim waislam humla nyama. Kisingizio suna
 
Ningekuwa simjui vzuri kondoo ndio ungenieleza haya. Kondoo anaweza ona gari linakuja badala akimbie anabaki hapo hapo kama zuzu tu.
Tuanzie na nguruwe kwanza,

Kondoo tutarudi Si ku ingine.
 
(Ayubu 39:17., 18,19......)

Imeweka wazi kuwa, mbali na mbuni kuwa wild, amenyimwa akili.

Aweza sahau watoto wake na kuanza kuwadhuru, tena baadae hukumbuka,

Nyati pia ni HAYAWANI amewekwa kundi Hilo, wapo wild animals wenye AKILI kama swala bt wapo HAYAWANI ambao ndio chanzo na msingi wa swali hapo juu.
Walichonyimwa Sio Akili Ila Ni busara "Wisdom" Kulingana na Ayubu 39:17..
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya Akili na Busara..
Unaweza ukawa una akili lakini usiwe na Busara

Job 39:17

"Because God hath deprived her of wisdom, neither hath he imparted to her understanding."

ila ukisoma katika Muhiburi 3:18-19

Mhubiri 3:18-19

"Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama."

"Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili."
 
Kwanza Samaki hachinjwi/ slaughtered.

Pili kuliwa Kwa nguruwe ambaye tunahoji utimamu wake wa akili, ni timamu au hayawani?

Tatu, ikiwa ni HAYAWANI/ kichaa, iweje afae Kwa chakula bila madhara yoyote Kwa mtumiaji?

Wingi wa watu kula pork haibadili maswali na tafiti za thread hii hapo juu,

Kwako DR Mambo Jambo
Nguruwe Harama Iwe kidini ,Kisayansi au Kiroho..

Nguruwe Huzuia Mtu kuendelea kiroho..(In Spiritual Realm kwa wale wanaonielewa)
Nguruwe hafai kutumiwa kwa Afya ya Mwili wako
 
Walichonyimwa Sio Akili Ila Ni busara "Wisdom" Kulingana na Ayubu 39:17..
Kuna tofauti kubwa Sana kati ya Akili na Busara..
Unaweza ukawa una akili lakini usiwe na Busara

Job 39:17

"Because God hath deprived her of wisdom, neither hath he imparted to her understanding."

ila ukisoma katika Muhiburi 3:18-19

Mhubiri 3:18-19

"Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama."

"Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili."
Kanyimwa both wisdom na understanding.

Hana vyote!!
 
Back
Top Bottom