kitabu nimekiupload hapo juu. kinaitwa Biblia inafundisha nini? sura ya 11 inamaelezo kuhusu kuteseka na uovu. kwenye hiyo tovuti ukienda sehemu ya vitabu kinapatikana pia.Mashahidi wa Yehova nimesoma nao miaka miwili.
Mzee wa Kanisa niliyekuwa assigned alishindwa kunijibu swali hili.
Hiyo sura ya 11 uliyoisema ni ya kitabu gani? Mstari wa ngapi?
Hiyo link sijaona jibu.
Unajuaje kwamba huyo Mungu yupo na si hadithi tu?SIYO. BIG NO. Mungu kamwe si utimilisho wa upumbavu, unasemaje kila kitu? Anaita sasa.
Kwa nini Mungu pale alipoanza kuumba ulimwengu, kabla hajaumba chochote, hakuamua kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?kitabu nimekiupload hapo juu. kinaitwa Biblia inafundisha nini? sura ya 11 inamaelezo kuhusu kuteseka na uovu. kwenye hiyo tovuti ukienda sehemu ya vitabu kinapatikana pia.
Yehova alichagua kuumba viumbe ambao wangepata matokeo kulingana na matendo yao. sizani kama hilo linamfanya kuwa mkatili. kuwapa watu uhuru wa kuchagua halafu ukawa unacontrol matokeo ni kupoteza maana ya uhuru wa kuchagua. Mungu anaenda kwa principle na sheria.Kwa nini Mungu pale alipoanza kuumba ulimwengu, kabla hajaumba chochote, hakuamua kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?
Sijaona jibu la swali hili.
Unaweza kunijibu?
Ukiniambia habari za watu kuasi, hilo si jibu. Kwa sababu hilo lilitokea baada ya uumbaji wa Mungu.
Ukiniambia shetani ndiyo sababu, hilo si jibu. Kwa sababu hilo lilitokea baada ya uumbaji wa Mungu.
Sijaona jibu linaloelezea kwa nini Mungu, kabka ya kuumba chochote, aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.
Sijaona jibu la swali hili.
Rejea post zangu #49 na #52. Kisha uthibitishe kuwa huyu si Mungu ni Mdoli. Ninasubiri uthibitisho wako wa kuwa Nguvu na Sheria isiyoweza kujipinga ni Mdoli. Tafadhali thibitisha madai yako. Anaita sasa.Unajuaje kwamba huyo Mungu yupo na si hadithi tu?
Watu wanamjua Mungu kwa neema ya Mungu au kwa jitihada zao?Yehova alichagua kuumba viumbe ambao wangepata matokeo kulingana na matendo yao. sizani kama hilo linamfanya kuwa mkatili. kuwapa watu uhuru wa kuchagua halafu ukawa unacontrol matokeo ni kupoteza maana ya uhuru wa kuchagua. Mungu anaenda kwa principle na sheria.
Nikikwambia kwamba chumbani kwako kuna ta ya dhahabu isiyoonekana inazunguka hewani utakubali au utakataa?Rejea post zangu #49 na #52. Kisha uthibitishe kuwa huyu si Mungu ni Mdoli. Ninasubiri uthibitisho wako wa kuwa Nguvu na Sheria isiyoweza kujipinga ni Mdoli. Tafadhali thibitisha madai yako. Anaita sasa.
Mpo salama waungwana?
Swali hili ningependa haswa kulipeleka katika pande mbili (2) kwenye sayansi na wanaoamini uwepo wa Mungu.
Katika sayansi ningependa kuhoji hivi je, ni kivipi nguvu inaweza kutengeneza/kutokeza object?
Katika upande wa Waumini wa Mungu naomba kuhoji hivi
kama ilivyoandika na vitabu vyake kwamba kwa kutumia uweza wake ama nguvu zake Mungu aliumba kila kitu. Swali hapa ni je, ni kivipi nguvu hiyo ya Mungu iliweza kuumba/kutokeza/kuunda objects kama dunia,nyota n.k?
Ni hivyo tu wakuu mnakaribishwa.
Isiyoonekana na nani, na nini? Thibitisha. Pia usikwepe swali langu, je Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu na zisizoweza kujipinga zenyewe zinakuwaje Mdoli? Anaita sasa.Nikikwambia kwamba chumbani kwako kuna ta ya dhahabu isiyoonekana inazunguka hewani utakubali au utakataa?
Watu wanamjua Mungu kwa neema ya Mungu au kwa jitihada zao?
Huyo Yehova ambaye kashajua maisha ya watu wote tangu wanazaliwa mpaka wanakufa kabla hawajazaliwa, kawapa watu hao uchaguzi gani katika kuamua matendo yao?
Kama upo njia panda leo 2016, unataka uamue kwenda kulia au kushoto, na Mungu alishajua kwamba utakwenda kushoto tangu kabla ulimwengu haujaumbwa, unaweza kwenda kulia?
Sio kwamba huwezi kutafsiri kila kitu ila we mwenyewe una meza tu hiyo midubwasha na unashindwa kufanya uchambuzi. Mtu kaanzisha mada humu ili watu wajadiliane kwa pamoja kila mtu aeleze anachokijua,we unajaza mi link tu.Ukitaka kujua mengi anza na kujifunza hiyo lugha.
Kiranga hawezi kukutafsiria kila kitu.
Hilo swali lako la "thibitisha" ndilo nililolitaka.Isiyoonekana na nani, na nini? Thibitisha. Pia usikwepe swali langu, je Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu na zisizoweza kujipinga zenyewe zinakuwaje Mdoli? Anaita sasa.
Huo uwezo wa fulani kumtafuta Mungu kwa bidii na mwingine kukosa uwezo huo huwa unatoka wapi?mungu anawabariki wanaomtafuta kwa bidii. waebrania 11:6 inasemaa ''6 Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao''. pia biblia inasema "utafute kwanza ufalme". kwahiyo rehema na jitihada vyote vinahitajika.
kwahiyo kama hauamini yupo na haumtafuti, hautaweza kumjua.
wakristo tunatumia biblia kutafuta majibu. biblia inaonyesha Mungu hawapangii watu mwisho wao. anajua mwisho wetu kulingana na matendo ya sasa. uwezo wa kubadilisha matendo yetu na mwisho wetu.
Mungu alimsihi Kaini abadili mawazo ili asipatwe na mabaya.
mwanzo 4:6-7.
'' 6 Bwana akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana?
7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde". kumshauri Kaini wakati fate yake iko sealed ingekuwa kazi bure na unafiki.
kitabu cha Joshua sura ya 24 kinaeleza kwamba tuna uamuzi wa kuchagua na kusababisha mwisho mzuri au mbaya.
15. Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
20. Kama mkimwacha Bwana na kuitumikia miungu migeni, ndipo atageuka na kuwatenda mabaya na kuwaangamiza, baada ya kuwatendea mema.
Sio kwamba huwezi kutafsiri kila kitu ila we mwenyewe una meza tu hiyo midubwasha na unashindwa kufanya uchambuzi. Mtu kaanzisha mada humu ili watu wajadiliane kwa pamoja kila mtu aeleze anachokijua,we unajaza mi link tu.
siyo uwezo ni uchaguzi. na mara nyingi tunachagua kwa kuangalia faida. kuna wengine wanaona kumtafuta Mungu kuna faida na wengine wanaona hakuna faida. kuna wengine hadi walichagua kumtumikia/kumtafuta Mungu dhidi ya uhai wao. hakuna watu wenye kuzaliwa na uwezo mdogo wa kumtafuta mungu.Huo uwezo wa fulani kumtafuta Mungu kwa bidii na mwingine kukosa uwezo huo huwa unatoka wapi?
Haujaniuliza swali katika Uzi huu halafu ulivyomuongo unasema sijajabu swali lako wakati haujaniuliza swali.Unaweza kunipa mfano unaoonesha kwamba maneno yako ni ya kweli na si hadithi za uongo tu?
Kitu gani nimeshindwa kukichambua?
Hoja gani nimeshindwa kuichambua?
Mimi naweza kukupa mfano wewe.
Kati ya mimi niliyekuuliza imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, na wewe uliyeshindwa kujibu swali, nani kashindwa kufanya uchambuzi?
Kichaa ana uchaguzi gani wa kumtafuta Mungu?siyo uwezo ni uchaguzi. na mara nyingi tunachagua kwa kuangalia faida. kuna wengine wanaona kumtafuta Mungu kuna faida na wengine wanaona hakuna faida. kuna wengine hadi walichagua kumtumikia/kumtafuta Mungu dhidi ya uhai wao. hakuna watu wenye kuzaliwa na uwezo mdogo wa kumtafuta mungu.
Wewe husomi ninavyokujibu au una makengeza au huna uwezo wa kulijua swali ukiliona?Haujaniuliza swali katika Uzi huu halafu ulivyomuongo unasema sijajabu swali lako wakati haujaniuliza swali.
Kama ungeweza kufanya uchambuzi ingekuwa hakuna ya kuweka link,unafikiri kila mtu akiwa mtu akiweka link ndiyo itakuwaje humu?
Mungu ana njia ya kushughulika na watu kama hao na wale ambao hawakuwahi kabisa kusikia habari njema. hata kibinadamu tunajua wagonjwa wa akili ni special cases.Kichaa ana uchaguzi gani wa kumtafuta Mungu?