Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

Je mbona kabla ya demokrasia kuwepo Africa tulikuwa na Amani na hakukuwa na huu ujinga uliopo sasa.

Hapa nina refer miaka kabla ya ukoloni
Hatuwezi kuendelea maisha ya zama za mawe, laZima tubadilike
 
Ungefuatilia vizuri utaona contradiction kwenye speech nzima

1. Ametoa justification ya unyama wanaoafanyiwa wapinzani (Kufungwa na kupotezwa)
2. Ametoa justification ya unyama uliofanyika Oct 29 mpaka Nov 4 na mpaka sasa hivi
3. Anasisitiza tunahitaji maridhiano

Swali ni kwanini maridhiano? Kama ana uhakika na uhalali wa mambo anayofanya, anataka maridhiano na nani na kwanini?

Ukweli unabaki palepale, huwezi kuongoza watu wasiokutaka! Ni swala la muda tu, hakuna utawala duniani umewahi kushindana na watu wake.

Mama anakomaa kwasababu hana option nyingine isipokuwa kukomaa, lakini anajua, the next 5 years will be a living hell. She is illegitimate
 
Ni muhimu pia watu wajue kuwa Watawala wengi linapokuja suala la utawala wapo tayari kufanya lolote. So kutegemea watawapa ushindi we mezani hicho nacho ni kituko.
Oyaa leo nimekushikisha adabu. Eti picha umedownload mtandaoni. Kwishaaa habari yako.

Kwiiishaaa.

Maarass de mbusii
 
Hilo la nguvu nakubali. Ila nguvu zipo za aina nyingi ikiwemo nguvu ya akili. Rejea kisa cha Daudi na Goliati. Pia ushindi wa mezani kwenye siasa pia upo. Adui mjinga anaweza mpatia mpinzani wake ushindi wa mezani kabisaa kwasababu ya ujinga wake. Bahati pia inaweza kukupa ushindi kwenye siasa. Mifano halisi: Magufuli & Samia. Wote hawa wawili walipata uraisi kwa bahati au makosa ya kibinadamu ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom