Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kila mmoja ashinde mechi zake. Timu Magufuli ni shetani hatupoi hata siku moja. Na Timu Waabudu Magufuli waache waendelee.Ni kama vile Katikati ya jamii ya Watanzani kuna kitendawili ambacho bado hakijapatiwa majibu. Kuna swali linalosumbua watanzania wengi kuhusu nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli katika historia yetu kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kimahusiano ya kimataifa...
Ila jiulize kuna Benjamin Mkapa alikufa miezi michache kabla ya yeye, mbona hakuna watu wanaomponda kwa kiasi anachopondwa Magufuli?
Kwenye maisha tuishi vizuri ili watu waje watuongee kwa mema yetu. Ni vigumu kukaa kimya bila kuongea ushenzi na unyama wa Magufuli, labda uwe ukikuwa nufaika wake. Ila hata familia ya Magufuli inajisikia ahueni baada ya DIKTETA kurudisha namba.