Nguvu kubwa inatumika dhidi ya Hayati Magufuli au inatumika kumtetea Hayati Magufuli?

Kila mmoja ashinde mechi zake. Timu Magufuli ni shetani hatupoi hata siku moja. Na Timu Waabudu Magufuli waache waendelee.

Ila jiulize kuna Benjamin Mkapa alikufa miezi michache kabla ya yeye, mbona hakuna watu wanaomponda kwa kiasi anachopondwa Magufuli?

Kwenye maisha tuishi vizuri ili watu waje watuongee kwa mema yetu. Ni vigumu kukaa kimya bila kuongea ushenzi na unyama wa Magufuli, labda uwe ukikuwa nufaika wake. Ila hata familia ya Magufuli inajisikia ahueni baada ya DIKTETA kurudisha namba.
 
Huna akili umejaza mlenda kichwani
 
Kwanini nguvu itumike , kama kiongozi aliyepo ni mzuri kuliko yeye Kuna haja gani ya kuhangaika na mabaya yake
 
Hujui kitu wewe hamtaweza kufuta historia ya huyu jamaa never
 
Ben Saanane na Azory Gwanda wamepumzika wapi??
Magufuli amepumzika zake mbinguni, hana shida na mtu.

Walamba asali wanahangaika kuchafua legacy yake bila mafanikio.

Wanatumia nguvu kubwa sana!
 
Jamaa anajitetea mwenyewe , nashangaa watu wanalipana kupambana naye akiwa kaburini , Ila battle bado ni ngumu....
 
Ninajua baba ako na mama ako wanajua uzuri wa jpm,na unafiki unaojalibu kuutetea,
 
Kwanini nguvu itumike , kama kiongozi aliyepo ni mzuri kuliko yeye Kuna haja gani ya kuhangaika na mabaya yake
Wenyewe wanadai kwamba wanafanya hivyo ili yasirudiwe tena kufanyika maovu kama yaliyofanywa na Magufuli na sababu nyengine ni kuwajulisha watu wengine kuwa Magufuli hakuwa mwema kama wanavyofikiri bali alikuwa muovu kwa maana kuna watu hawajui hilo.
 
Hii ni alama ya watu wajinga, watu wasioweza kujadili hoja, sera, takwimu, wanaishia kumjadili mtu.

Na hata huyo mtu mwenyewe - kuna haja ya kujua historia vizuri- mostly hawawezi kumchambua vizuri kihistoria, kwa fikra tunduizi na dhahania, ni ushabiki kama ushabiki wa mpira usio na ujuzi, kila mtu anatetea timu yake.

Watu hawawezi kujadili viability ya solar electricity projects kukabiliana na umeme wa TANESCO.

Hawawezi kujadili viability ya rainwater harvesting kukabiliana na uhaba wa maji.


Kilichobaki ni uchawi, kuponda ushoga, kula tunda kimasihara na Magufuli.

Ndiyo mwisho wa uwezo wao, hata tusiwalaumu.
 
Magufuli amepumzika zake mbinguni, hana shida na mtu.

Walamba asali wanahangaika kuchafua legacy yake bila mafanikio.

Wanatumia nguvu kubwa sana!
Una uhakika yupo mbinguni? Maana watu aliowaua kwenye utawala wake zinajaa fuso kadhaa...
 
Tulitarajia matendo yake yamtetee....ila.sasa imekuwa kinyume.
 
Tulitarajia matendo yake yamtetee....ila.sasa imekuwa kinyume.
Upande wa pili nao wanaweza kusema walitarajia mabaya yake yawe wazi yaonekane yenyewe hakuja haja tena ya watu kuonyesha hayo maovu maana yanajulikana.
 
Kwa upande wangu amekiongezea nyama kitabu changu cha ujasiriamali kuhusu 'uncertainty' usilolijua likaja
Una uhakika yupo mbinguni? Maana watu aliowaua kwenye utawala wake zinajaa fuso kadhaa...
Comments reserved
 
Kuna kitu nahisi ni kama nape na makamba wameajiri watu wa kupangua hoja zozote zile zenye mlengo wa kumsifia magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…