Nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi kuwadhibiti BAWACHA bila mafanikio ni kuipaisha taasisi hiyo

Nguvu kubwa inayotumiwa na Polisi kuwadhibiti BAWACHA bila mafanikio ni kuipaisha taasisi hiyo

Faida za ni kwamba hatuwezi kuwapa nchi wabaguzi kama nyie.Na mwaka huu mtaishia jela
Mwanaume haogopi jela hata siku moja kwani huko hakuna tofauti na guest house ambayo ipo siku utaingia humo!
Endelea kujidanganya kuwa hutokwenda jela huku ukivinyandalua viwanafunzi vya std iv!
 
Ulimi huumba, usisahau hilo! Hivi yule demu wako mwanafunzi wa std iv unajua wazazi wake wanakuzoom TU ujae vizuri ili wakusukume jela maisha! Na hilo litakupa sifa Sana kushindwa hizo unazomwombea Mbowe! Jidanganye ili unase vizuri!
Kuonesha kama nayaweza tunaanza kumpiga jail maisha kiongozi wenu.
 
Kuishika nchi kwenye kiganja hivi ni vituko ninacho jua walipigwa marufuku na usanii wao jogging na wanalialia kama vijitoto vya chekechea Ila vituko vya bawacha na bavicha ni comedy tosha
 
Ulimi huumba, usisahau hilo! Hivi yule demu wako mwanafunzi wa std iv unajua wazazi wake wanakuzoom TU ujae vizuri ili wakusukume jela maisha! Na hilo litakupa sifa Sana kushindwa hizo unazomwombea Mbowe! Jidanganye ili unase vizuri!
Sasa hapa umeandika nini?Kwel Chadema mmevurugwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Katika kikao cha bunge kijacho ipo haja baadhi ya vifungu vikarekebishwa kwa dharura hasa kipengele kinachoruhusu watu kuandamana hovyohovyo na vikao vya hovyo hovyo ili kuwepo na muda rasmi ambao ndio utakuwa muda sahihi kwa maswala ya kisiasa mfano [MWAKA MMOJA KABLA YA UCHAGUZI] ili mambo ya kisiasa yasiweze kuingiliana na mambo ya kiujenzi wa taifa
Mkuu wew umewahi kuingilia na mambo ya siasa kwenye shughuli zako?
 
Katika kikao cha bunge kijacho ipo haja baadhi ya vifungu vikarekebishwa kwa dharura hasa kipengele kinachoruhusu watu kuandamana hovyohovyo na vikao vya hovyo hovyo ili kuwepo na muda rasmi ambao ndio utakuwa muda sahihi kwa maswala ya kisiasa mfano [MWAKA MMOJA KABLA YA UCHAGUZI] ili mambo ya kisiasa yasiweze kuingiliana na mambo ya kiujenzi wa taifa
Wewe mbona kila usiku unasomwa 0713 bila huruma na hujawahi omba iwe mara moja hata kwa mwaka?
 
Ile Taasisi bora ya akina mama barani Africa , na ambayo inatajwa kushika namba 3 kwa ubora duniani kwa sasa , BAWACHA , Imeishika Nchi kwa kiganja kimoja cha mkono wa kushoto.

Pamoja na kwamba Bawacha ni Taasisi ya wanawake , lakini nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi kuwadhibiti bila kufuata PGO , tena bila Mafanikio inazidi kuipaisha Taasisi hiyo

View attachment 1961227

Kwa kifupi ni kwamba hoja za Polisi za kujaribu kuhusisha Jogging za Bawacha na harakati za kisiasa HAZINA MASHIKO , BAWACHA ni Taasisi ya kisiasa , chochote watakachokifanya hauwezi kukitenganisha na siasa , kiongozi wa kisiasa hawezi kubadilika kwa mavazi , hata akiingia Kanisani au Msikitini atabaki kuwa mwanasiasa tu , hata akihudhuria msiba bado TAITO yake ya uanasiasa haitapotea , udiwani wake , ubunge au uenyekiti wake hautaondoka kwa vile yuko kwenye mazishi .

Kwahiyo kuwazuia BAWACHA kufanya mazoezi kwa vile ni viongozi wa kisiasa , au labda kutaka wanasiasa hao wafanye mazoezi yao au Jogging zao huku vyeo vyao wameviacha nyumbani ni KITUKO kisichowezekana , Polisi ni lazima iseme ni namna gani kiongozi anaweza kujitokeza kama raia huku akiacha cheo chake nyumbani , na ni wakati gani ambao anapaswa kutembea na cheo chake , Kwa mfano , ni wakati gani Waziri labda Jenister Mhagama anakuwa Waziri ni wakati upi anakuwa Raia ? bila shaka si rahisi .

Bali Polisi wanapaswa kulinda amani na usalama tu , wakianza kupiga ramli na kuzuia wengine kukimbia barabarani kwa Visingizio vya kichovu watajidhalilisha tu , uonevu duni kama huu hautasaidia Polisi katika lolote na wala HAUTAFANIKIWA , zaidi utatengeneza Uhasama wa Kudumu .
na nyie BAWACHA ni wa.p.u.m.b.a.f joging gani na mafulana ya kiharakati ya kampeni za kudai katiba mpya? mbona hamkuandamana kwa kuomba kibali mjulikane? acheni umburula
 
na nyie BAWACHA ni wa.p.u.m.b.a.f joging gani na mafulana ya kiharakati ya kampeni za kudai katiba mpya? mbona hamkuandamana kwa kuomba kibali mjulikane? acheni umburula
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom