Uchaguzi 2020 Nguvu mpya, kasi mpya, ari mpya ya Tundu Lissu

Wanasahau kuwa kuna mzigo wetu wa 1.5T Asad katusanua kwamba haujulikani ulipo,matokeo yake, wakampiga Asad,na 1.5T wakaipiga.
 
Ili kuiondoa Serikali iliyokataliwa na watu madarakani Lazima watu wa mijini wajipange vizuri , Serikali dhalimu yoyote Duniani haijawahi kuangushwa na watu wa mashambani.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
kwan ajab mzee si inafahamika ma keyboard warriors walivojaa humu ambao wana account of 1.2% of 65 million peoples in Tanzania.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Ila mkuu kwa serikali iliyo madarakani, na chama kilichokaa madarakani kwa miaka 59, wanaokusanya kodi kukujengea barabara na miundombinu mingine huoni kwamba ni haki yako?

Kama awamu zilizopita hazikufanya hivi basi ni madhaifu makubwa na chama kolichopo madarakani, ila ni hela zetu siyo msaada.

Kikubwa ni haki, haki huinua taifa vizuri tafakuri zako kuhusu haki, hapo nakuunga mkono 100%
 
Ile adhabu kama Mungu vile kwansa siamini ilijuwaje Lissu akaikubali. Lakini alipoikubali inelata manufaa mengi zaidi. Amepumzisha mwili pamoja na ku refresh mind na kutembea hapa na pale.

Imemuongezea credit kama Rais wa watu.
 
We mrundi tu mhamiaji. Tena we mbembe ndio maana unajibanza kwa ccm kuepuka maovu yako.

Magufuli hafai hata umpambe vipi.
 
Right
 
He wanted to push forward developmemt.....imakuwa gari eeh!😅😅
 
Usimdhalilishe PhD holder wetu, hata wa China hawawezi kuongea kibeberu
 

Ukienda YouTube, video zake zinatazamwa na viewers mamilioni na mamilioni duniani kuliko video zingine zozote....!

kama wewe ni mmiliki wa channel YouTube na channel yako haina subscribers na viewers wa kutosha, ukitaka upate viewers na subscribers wengi, tafuta video za Tundu Lissu na CHADEMA post kisha pandisha hadhi ya channel yako....!

Kinyume chake, kama unataka kupata nuksi na laana, upload video zinazomhusu John Pombe Magufuli na CCM, utaidodesha channel yako balaa na kuvuna aibu tu....!
 
Mr Mshana, As your nephew kindly accept this comment, never take it as inappropriate or particularly offensive.

Katika siasa za ushindani ukiona vitu vitatu vifuatavyo vinatokea na unaeshindana nae ndio mnufaika mkubwa, jiulize sana.

1) Unapoona wafanya biashara na Elites hawakuungi mkono, na ulio nao wanakukimbia jiulize sana. Kwakuwa kundi hili lina kila uwezo na ujuzi wa kukusaidia kwa vyovyote vile utavyo hitaji wewe.

2) Ukiona kundi ambalo unataka likuunge mkono na kundi hilo halina cha kupoteza lisipo muunga mkono mpinzani wako ( wananchi wa chini )jiulize zaidi kwa maamuzi yao na ujitafute kwako kuna upungufu gani ? kundi hili ndilo linalo tembea na mabadiliko bila kujiuliza litapata faida gani, kwa kawaida huwa halina cha kupoteza.

3) Mawasiliano ni ujuzi wa wewe msemaji na msikilizaji mnavyo weza kukonnect. Mama anapo zungumza kwa lugha ya kitoto kwa mtoto wake mdogo, wazazi wa kiume huona mama anapiga kelele na mwanae. Lakini wewe baba unaesema vizuri ukiongea na mtoto wako mdogo anaweza akapata taabu sana kuelewe au asikuelewe kabisa.

Magufuli ni mfano wa 99.7% ya Watanzania, hawawezi kuongea kiingereza fasaha, kwa broken yake hiyo wengi haiwasumbui kwa kuwa hawana uwezo wa kufananisha english proficiency kwa sahihi kabisa.

NB: Kwa tunaofahamu kiingereza hata Lissu proficiency yake iko chini kabisa. Na hili muulize yeyote anaefahamu kingereza atakwambia. (hana uwezo wa kutumia maneno sahihi kwa wakati sahihi, kwa tukio sahihi, use of noun vocaburary, verb, a message whose ingenuity or verbal skill or incongruity has the power to invoke laughter).

Kwa mfano: watoka Dar es salaam au nje ya nchi tukienda Upareni vijijini tunapo ongea kiswahili chetu bila lafudhi sahihi ya kipare haiwi rahisi kuconnect na pals kirahisi, mpaka waaminishwe na mzee huyu ni kijana wangu.
Kwa hiyo bwana mkubwa anapongea kama mshamba ni rahisi kwake kuunganika na washamba wenzake akiwa anaongea nao, kwa bahati mbaya washamba Tanzania ndio wengi hasa vijijini Tanzania.

Ushamba wake Magufuli wa kuongea na matendo unampa credit sana kwa washamba ambao ni wengi. Mshamba yeyote yule awe Mchaga, Msukuma, Mbondei, Muhaya, Mgogo au kabila lolote lile, wanao ongea nae hujiunganisha moja kwa moja na watu wa kabila la muongeaji anako toka. Tabia za ujumla na kuaminika kwa kundi hilo la "washamba" ndio humpa ama faida au hasara muongeaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…