Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

16.Ana Uwezo wa kupata Mimba

Mimi nafikiri number 16 Ndiyo muhimu kuliko zote,au wadau mnasemaje?
@Jimena,@Bennie,@Areta Njoeni huku muone uwezo wa Malkia!
Hahahahahaha aiseee umenichekesha sanaa leo.
Nimekubali sana hiyo 16 pasipo shida yoyote.
Nimeielewa sana hiyo 17 pasipo utata wowote
Najisikia kuongeza hii sijui mtaipa namba ngapi? "Ana uwezo wa kupata maradhi kama vile tumbo,kichwa na anapata homa pia"
 
Last edited:
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
Jamaa ametishaa ha ha ha
 
Lakini nasikia si alishawahi k.b.a.n.d.u.l.wa na Carlos.
 
Mume wa Queen anaitwa Prince Philip yaani kila anapokwenda na malkia lazima amuaibishe kwa maneno yake makali na maudhi.
Alimuona raisi wa Nigeria akiwa kavaa zile nguo zao akamwambia naona uko tayari kwenda kulala.

Akaulizwa na waandishi wa habari Je unategemea kwenda kutembea Urusi akasema ningependa kwenda lakini wanaharamu wameuwa nusu ya familia yangu.
Nyingine alienda Papua new Guinea wakawa wanacheza kumfurahisha Queen akawauliza mmeacha kula watu?
Anaweza kuwa ndugu na MR. BIN au CHARLE CHAMPLIN
 
pumbavu mkubwa wewe, yaani Mungu wangu unamfananisha na huyo takataka anayesubiri kuoza? eti next to God bora ungeweka god ila God? ukome kabisa usirudie tena.
Sasa wewe na yeye nani mpumbavu? 😀 wafia dini bwana
 
She is the devil's daughter. The matron of freemason in the world!
Hapo ndipo ninashindwaga kuwaelewa....sijaona matendo maovu ya huyu malkia kiasi cha kum_,term kama devil daughter....mara sijui freemason matron how.

Umasikini wa akili na kipato unatumemena sana africa...sababu hata hizo dini zinazotuaminisha habari za devil vs god...ni hao hao wametetea...lakn leo hii tunajifanya wajuaji mpaka kuwaona wao ni devils na sisi ni godly.....hii ni kitu na chipu linalohitaji mtumbuaji jasiri.
 
ubwa wewe, yaani Mungu wangu unamfananisha na huyo takataka anayesubiri kuoza? eti next to God bora ungeweka god ila God? ukome kabisa usirudie tena.[/QUOTE]
Aiseeeee.....and who is your God chief....just curiuos to know..!
Huyo Mungu wako ndio kakutuma uite watu pumbafuuu...
 
hahahhaha...ngoja umesahau 18- anauwezo wa kujamba pia
 
Hapo ndipo ninashindwaga kuwaelewa....sijaona matendo maovu ya huyu malkia kiasi cha kum_,term kama devil daughter....mara sijui freemason matron how.

Umasikini wa akili na kipato unatumemena sana africa...sababu hata hizo dini zinazotuaminisha habari za devil vs god...ni hao hao wametetea...lakn leo hii tunajifanya wajuaji mpaka kuwaona wao ni devils na sisi ni godly.....hii ni kitu na chipu linalohitaji mtumbuaji jasiri.
Mkuu Igwe kwa hakika hili jipu linahitaji mtumbuaji. Hawa watu wanajiona wao ni wakamilifu sana kiasi cha kuhukumu wenzao kila kukicha
 
Queen_Elizabeth_II_March_2015.jpg

Elizabeth II (Elizabeth Alexandra Mary; born 21 April 1926[a]) is, and has been since her accession in 1952, Queen of the United Kingdom, Canada, Australia and New Zealand, and Head of the Commonwealth. She is also Queen of 12 countries that have become independent since her accession: Jamaica, Barbados, the Bahamas, Grenada, Papua New Guinea, Solomon Islands, Tuvalu, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Belize, Antigua and Barbuda, and Saint Kitts and Nevis.https://en.wikipedia.org/wiki/Elizabeth_II#cite_note-list_order-3

Elizabeth was born in London as the elder daughter of the Duke and Duchess of York, later King George VI and Queen Elizabeth, and educated privately at home. Her father acceded to the throne on the abdication of his brother Edward VIII in 1936, from which time she was the heir presumptive. She began to undertake public duties during the Second World War, in which she served in the Auxiliary Territorial Service. In 1947, she married Philip, Duke of Edinburgh, with whom she has four children: Charles, Anne, Andrew, and Edward.

Elizabeth's many historic visits and meetings include a state visit to the Republic of Ireland and reciprocal visits to and from the Pope. She has seen major constitutional changes, such as devolution in the United Kingdom, Canadianpatriation, and the decolonisation of Africa. She has also reigned through various wars and conflicts involving many ofher realms. She is the world's oldest reigning monarch as well as Britain's longest-lived. In 2015, she surpassed the reign of her great-great-grandmother, Victoria, and became the longest-reigning British head of state and the longest-reigning queen regnant in history.

Times of personal significance have included the births and marriages of her children, grandchildren and great grandchildren, her coronation in 1953, and the celebration of milestones such as her Silver, Golden and DiamondJubilees in 1977, 2002, and 2012, respectively. Moments of sadness for her include the death of her father, aged 56; the assassination of Prince Philip's uncle, Lord Mountbatten; the breakdown of her children's marriages in 1992 (herannus horribilis); the death in 1997 of her son's former wife, Diana, Princess of Wales; and the deaths of her mother and sister in 2002. Elizabeth has occasionally faced republican sentiments and severe press criticism of the royal family, but support for the monarchy and her personal popularity remain high.
READ MORE WIKIPEDIA
 
Back
Top Bottom