abuu arona
Member
- Dec 28, 2015
- 13
- 11
Quine alipi kodi raia wake ndo wanamlipa kodi kila raia kuna kiasi anakatwa kwenye kodi kila mwaka kwa ajili ya familia ya malkiaTony Blair alimshauri alipe kodi na mpaka Sasa analipa kama sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quine alipi kodi raia wake ndo wanamlipa kodi kila raia kuna kiasi anakatwa kwenye kodi kila mwaka kwa ajili ya familia ya malkiaTony Blair alimshauri alipe kodi na mpaka Sasa analipa kama sisi
Ni reptilian / queen mother of freemason worlwide/
she is above 33 degrees,hivyo ana kila uwezo wa kimaajabu.
Mwaka 1992 ndipo Queen alianza kulipa kodi na wananchi hawachangii hata senti nina uhakika na hilo, na pia mambo ya kumuinamia malkia wakati wa kumsalimia yalifutwa 1994 na aliyekuwa waziri mkuu hizi ndio fact na ninazijua vizuri.Quine alipi kodi raia wake ndo wanamlipa kodi kila raia kuna kiasi anakatwa kwenye kodi kila mwaka kwa ajili ya familia ya malkia
Acha kelele wewe una Mungu au Mzimu?pumbavu mkubwa wewe, yaani Mungu wangu unamfananisha na huyo takataka anayesubiri kuoza? eti next to God bora ungeweka god ila God? ukome kabisa usirudie tena.
Hapo ndipo ninashindwaga kuwaelewa....sijaona matendo maovu ya huyu malkia kiasi cha kum_,term kama devil daughter....mara sijui freemason matron how. Wewe ni mjinga na hujui kitu. Ni bora ungeuliza. Na zaidi anza kujisomea. Usifikiri watu tunakurupuka hapa. Jiongeze kwanza
Umasikini wa akili na kipato unatumemena sana africa...sababu hata hizo dini zinazotuaminisha habari za devil vs god...ni hao hao wametetea...lakn leo hii tunajifanya wajuaji mpaka kuwaona wao ni devils na sisi ni godly.....hii ni kitu na chipu linalohitaji mtumbuaji jasiri.
UooooooooooooongooooooooNa wakati mwingine anaumwa tumbo la kuhara
Hata mimi natamani kujua FaizaFoxy una lolote la kutujuza hapaNiliwahi kuuliza huyu mama kazi yake ni nini, dada'ngu FaizaFoxy akanijibu vizuri tu ingawa alitumia google translation ilikuwa na kiswahili kibovu kweli.
Tunaomba kujua ratiba yake ya kila siku ni ipi. Yaani akiamka asubuhi anafanya nini? Ana ofisi? Nini shughuli zake za kila siku. Nasikia hajawahi kubeba chochote zaidi ya ule mkoba wake.
Mwenye kujua ratiba yake ya kila siku plz weka hapa.
Ngoja nisaidie kidogo kuhusu hili kwanza kila siku haziendi sawa kwa kila mwanadamu,Hata mimi natamani kujua FaizaFoxy una lolote la kutujuza hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nisaidie kidogo kuhusu hili kwanza kila siku haziendi sawa kwa kila mwanadamu,
Na Queen kama sisi ana siku nzuri na mbaya.
Akiwa Buckingham palace asubuhi tu anapoamka utaratibu wake ni wa kupangiwa saa 1:30 yaya anaingia na kumwekea Chai ya maziwa Early grey na biscuits kadhaa, baada ya hapo anamfungulia pazia na kuwasha radio BBC 4 ili asikilize taarifa ya habari wakati ndio kwanza traffic imeanza kuwa kubwa constitution hill karibu na Green Park. Wakati huo maid anamwandalia maji ya kuoga.
Kiasi anaoga anaandaliwa nguo ya kuvaa (inategemea na shughuli ya siku hiyo)
8:30am
Malkia anaelekea kwenye first floor na kukutana na Mme wake kwa ajili ya breakfast, ambayo inaangalia palace garden.
Wanapomaliza kula Prince Philip anaongeza kahawa tena na tena. Na malkia anaomba magazeti ambayo ni Daily Telegraph na Racing Post.(anapenda farasi sana)
9:00 am Queen's piper anawatumbuiza kwa bagpipes taratibu wanasikiliza wakiwa pamoja na Mme wake.
9:30am anaenda ofisini kuangalia yanayojiri.
Baada ya hapo anaenda garden na mbwa zake aina ya corgi mpaka mchana wakati wa kula nafikiri na siku itakuwa imekaribia kwisha.
Ana majukumu mengi lakini utaratibu wake wa kila siku ni huo labda awe na mapokezi ya wageni au nikimtembelea anakuwa na mda mwingi na mimi ( just kidding)
Umri wa miaka 90 na ushee unafikiri hiyo miguu inavyopoa nani atakubali kulala na mwenzie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo halali na mmewe kudadekiiiiiii...
Huko ofisini ana shughuli ghan wakati mamlaka ya kutawala kaachiwa PM..
Kikwete angepewa ratiba ka hii angejiuzulu uraisi
Baba wa yule dogo aliyeko kwenye avatar ya FisadiKuuUmri wa miaka 90 na ushee unafikiri hiyo miguu inavyopoa nani atakubali kulala na mwenzie.
Kuhusu mamlaka anayo mengi sana ni head of several States na maamuzi anasaini yeye pia wa kujipendekeza kwenda kumuona hawakosekani kama.....
let me reply because god is weak.Hey,sorry for Interruption,But I've little question here,
How can demons able to prevent you from communicating with your own Omnipotent-God?
kumbe ndo iko hivyo?????????????????????/////Ni reptilian / queen mother of freemason worlwide/
she is above 33 degrees,hivyo ana kila uwezo wa kimaajabu.
GOD is not weak as u thinklet me reply because god is weak.
haya ni strong as you thinkGOD is not weak as u think
let me reply because god is weak.
Robert muga???hihi nikimsikia huyu jamaa nafurahi sanaHajawahi ku mess Na Roberto wa Zimbabwe