Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nitafanya hivyo chief...
Nami nitag chief kurudi kwako JF kutaniongezea kitu kwenye Forex nimeunguza account zaidi ya mara4

Jumatatu sehemu ya pili nitakuwa makini kuifuatilia jitahidi story iishe mapema chief

Ukinitag na twitter itapendeza
 
Nasubiri unichane...
Mkuu na wewe pia na akili zako unashindana na huyu punguani, huwajui hatter, kila kitu wao wanajua, hatujua kama wewe uliitaja forex kabla ya Ontario, Ontario mwenyewe makala ya kwanza alikupa credit yeye hajui achana nae
 
Napata wasiwasi kama kweli utaweza kutopendelea mawazo yako juu ya FOREX ukizingatia mke wako kaajiliwa na ONTARIO pale jangid plaza kama secretary... Anyway nasubiri episode 2

Duh!

Actually nilikuwa hapo mapema wiki hii

The Millionaire Team [TMT] baby[emoji23].

It’s all good though, a job is a job.

But they could have been more original with their name...oh well. Whatever works for them...
 
Nafikir umefikiria tofaut mbona forex ni kweli in exists na wana wana trade wanaoweza wanawin wasio weza wanaloose so sijui umeelewaje
 

we jamaa acha kwanza atumalizie makala ndio ulete povu lako
 
Hahahhaa pogba nimecheka sanaa
 
Napata wasiwasi kama kweli utaweza kutopendelea mawazo yako juu ya FOREX ukizingatia mke wako kaajiliwa na ONTARIO pale jangid plaza kama secretary... Anyway nasubiri episode 2

Duh! Jf wafukunyuzi kwelikweli

Ila the bold unatuaminisha kwa kila namna kuwa wewe unatumiwa sana na watu wa usalama, ile ishu ya kibiti pia ulituaminisha hivyo sasa sijui lengo lako/lenu ni lipi Au ndio mpango wa kukutumia kutuaminisha mambo mengine huko mbeleni!!

Anyways, Ila sio vyema kumtusi bosi wako kuwa ni mvivu kwenye hadhara ambayo na yeye atasoma, unless Kama hii stori ni ya kutunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…