Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Vijana wana mambo meeengi lakini ni vema kusikiliza, kusoma na kutafakari ili kuufahamu ukweli wa hili jambo. Lilikuja kwa kasi na kufifia. Sababu za kufifia na mdororo wa hii habari hazijulikani ila waliohusikaa ndio wajuao mbivu na mbichi. Ngoja tumsome huyu bwana pengine analo jambo la kutujuza.
 
Naomba uniweke kwenye hii tag list
 
Mmh!! Ina maana Ontario alikuwa anaongea na ofisa wa TISS(Habib/Bold) bila kujijua?

Maana Bold ali role behind the scene kwenye tukio lote la kwenda na mtutu wa bunduki pale TMT.

Nawaza na kuwazua sipati jibu kabisa.
Changa la macho hilo mkuu, ukiingia KINGI umepatwa!
 
Duh!

Actually nilikuwa hapo mapema wiki hii

The Millionaire Team [TMT] baby[emoji23].

It’s all good though, a job is a job.

But they could have been more original with their name...oh well. Whatever works for them...
You are everywhere dude....whats up?
 
Huu uvivu utaniacha pabaya.. Asante sana sana sana.
 
Ndio maana tumemkosoa.
Au ulitaka tumkosoe kwa style gani???
Sasa mkuu kama pesa unapiga.. Na watu wanapunguzwa kasi na mabandiko ya the bold! Hiyo inakuumizaje?!

Kwa nn usipige kimya tu uendelee kufurahia mavuno..kwenye soko ambalo mpo wachache!?

Btw.. Mie natafuta story line kudevelop script ya movie.. Sio shabiki wa upande wowote. Kiongozi.
 
Truth #
 
Naona wachangiaji hawajajikita katika kuidadavua mada.

Watoto wa kiume wamejikita katika kutupiana vijembe.


mkuu The Bold katika mwendelezo wa mada hii naomba unitag.

tuielewe janja janja ya Forex
Vitu vikitiririka kantiki na kwa facts.. Kuna kudadavua tena?! Plus akili zikiwa kama punje ya haradali ..lazima wakimbilie mitusi tu!

Ndio ndugu zetu walivyo.
Sisi ngoja tuone jumatatu.. Ndugu yetu akileta muendelezo wa bandiko.
 
Idk wht some folks get kwa kuwa too negative. Yaan mtu hajiskii raha kama hajatia negative comments as if thread inampunguzia uzito. Najua utofauti wa mawazo ni jambo jema sana, ila sometimes utofauti usio na tija kwenye positive issues huwa unakua ni ubashite.
 
Kwa mazuzu kama wewe mnaofanyishwa utumwa huko TRA, angalia hii video mpaka mwisho kabisa, good luck slave. Na hii video ni special kwa panya wengine wote humu; mjitazame mara mbili.
Hukuielewa movie.. The root of its all is people chasing {$€£} money... Ndio maana inawablind.. Life is not only chasing money.. People dd live waay before money.. And today primarily we still need more or less the same basic needs.. Food, Shelter and Clothing.. How much money do one need to get all these at a comfortably basic level...

Vitu vinavyotufanya tuhitaji sana pesa sometimes ni ujinga tu wa jamii za kileo.. Fashion being one of them... (Self entitlement) In return tutajuta (sisi)..if not the next generation.
 
Hata yule big sam wa foreverliving alikuwa na kauli kama hizi humu; wadau tukamshughulikia barabara na akanyooka
 
Mbona unatoa povu hivyo vip nani kakutomasa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…