Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Yani umeficha fulana ya jeshi kwa sweta la Polisi? Tena umeazimwa na askari wa lindo, halafu wakakuacha?Ile fulana na Navy nilienda nayo kwa bahati mbaya. Nilipofika pale ndio nikagundua kwamba nilivyo vaa its inappropriate kwa mahala nilipo.
Uzuri yule askari niliyemkuta getini namfahamu.
Anyways... I like your stories.