Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

Ile fulana na Navy nilienda nayo kwa bahati mbaya. Nilipofika pale ndio nikagundua kwamba nilivyo vaa its inappropriate kwa mahala nilipo.
Uzuri yule askari niliyemkuta getini namfahamu.
Nimekupata mkuu asante brother
 
Mkuu Uwe unanitag na mimi nimevutiwa sana na machapisho yako mazuri sana tafadhali Ndugu yangu nakuomba sana
 
Huyu mleta mada huwa ana nyuzi makini sana zenye uchambuzi wenye mtiririko wenye ladha haswa! Anajua kuteka hadhira kupitia uandishi wake!

Napenda sana makala zake...ila hii ya leo nimeipenda sana! Iko na #Noise# haswa! Hata kiziwi anaweza kuisikia!
Mkuu nimemkubali haswaaa,tuko vzr
 
Mkuu niongeze kwenye tag zako.Lakini si vibaya nikikupongeza kwa kazi zako,mada zako zinabeba umuhimu wa forum hii kwangu kwa zaidi ya 30%.Ndiyo maana nawashangaa ambao huwa wana kupiga ban kwa muda mrefu bila kujua unachangia kwa kiasi kikubwa sana kwa wadau kama mimi kutumia hii forum.
 
Pamoja sana chief...
Nakuongeza kwa taglist
 
Back
Top Bottom