Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

kumbe bado kuna watu wana ubaguzi katika nyakati hizi za ulimwengu kuunganika bila kua na mipaka?dah, 🐒

kwamba waTanzania kumkubalia, kumuamini na kumpenda Rais wao Dr Samia Suluhu Hassan imekua kero, right?🐒
Anaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
 
CCM imekwisha kabisa, pamoja na kutumia Watekaji na Wauaji lakini imeshindikana
 
ANdiko zuri,ila ni imani ya wengi kuwa sifa sii muhimu kama kupata majibu ya msingi ,ya kwanini andiko hili limetolewa leo.?
 
Anaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
demokrasia ya mtindo na matakwa yako binafsi fanya na familia yako nyumbani.

Demokrasia halisi ya jumla duniani kote ndiyo inayofanyika nchini Tanzania bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
 
Nguvu IPI? Ile tuliyoiona wakitembea na kufuta majasho? Au IPI?
 
Wacha visingizio. Nenda kaandamane uone joto la jiwe.Mlikubaliwa kuandamana na mikutano ya hadhara.Mkaanza matusi na kejeli.
Visingizio vya ohh tumeshashinda ni upuuzi.Andamaneni muache kuwa keyboard warriors wa kutukana kwenye mitandao.
 
Serikali ya CCM inaiogopa saaana chadema
 
Tatizo liko wapi Kwa watu kuandamana kupinga utekaji na mauaji yanayoendelea? huu ni zaidi ya uwoga ,na kuandamana ni haki ya raia kikatiba, ndio matatizo ya kuongozwa na akili za kuendesha magari ya V8 huku hata ofisi Haina choo
 
Andamana upate jibu la nani anaogopa.Wacha ushujaa wa mtandaoni.
Kitendo cha kuleta jeshi zima la polisi dar wenye silaha za moto kukabiliana na waandamani wasio na silaha yeyote ndiyo uoga wenyewe...mbona mwanzo Samia mwenyewe alikuwa anawabeza maandamano yao? Samia ameanza kuzuia hata mikutano ya siasa. Usiku huu anakamata wafuas i wa chadema. Chadema ni thret kwake
 
Hakuna threat yeyote. Hakuna anayeweza kuleta tishio lolote.Mtanyamazishwa kwa nguvu au hiari.Hakuna muafaka na watukanaji.Piga mpaka washike adabu.
 
Ushindi kwa mataahira tu

Hakuna nchi ambayo itatishiwa vurugu isijiandae kwa ulinzi.

Sasa siku ikifika watu wakianza kutembeza kichapo msianze kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…