ablacablaati gentleman, unasema?š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ablacablaati gentleman, unasema?š¤£
Naona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho[emoji1][emoji1]
Ni mbinu kubwa sana CDM wamecheza hapo.Tangu CHADEMA washikilie msimamo wa kuandamana tar. 23.09.2024, askari wamepata taabu sana. Wamekuwa wakizunguka huku na huko ili kutuliza joto la maandamano.
Pole sana askari wetu.
Tukifiata callendar OG ya Israel, mwaka wa uchaguzi 2025 uneshaingia.
Huyu msamehe bure hajui atendalo. Eti ablacablaš¤£š¤£š¤£ablacabla
Unaelewa tofauti ya kubisha na kuuliza? Rudi shule dogoKwa hiyo unataka ubishe kila unachokiona.Huo ndiyo utoto kama ulikua hauujui.
Unapambana kujibu lakini hujui unajibu nini. Hata kama ni roboti nakushauri kunywa maji upumzishe komwe kesho nayo ni siku utaendelea kufanya ka i yakoš š šishakuingia tayari lazima uweweseke š ...pole
Kenge we!Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Usipende kuita watu "dogo" wewe.Kuna maneno yamewekwa JF yatumike ili watu kama ninyi msiotumia ubongo myatumie.Unaelewa tofauti ya kubisha na kuuliza? Rudi shule dogo
Mbona unaishia kulalamika na kujisahaulisha mjadala. Kujikuza tu sijaona kama una akili MkuuUsipende kuita watu "dogo" wewe.Kuna maneno yamewekwa JF yatumike ili watu kama ninyi msiotumia ubongo myatumie.
Utoto unakusumbua.Kwa sababu hatufahamiani wala kuonana unaweza kuandika au hata kuuliza upumbavu na ukaona upo sawa tu.Mbona unaishia kulalamika na kujisahaulisha mjadala. Kujikuza tu sijaona kama una akili Mkuu
Binafsi hili la maandamano lishapita kwa mafanikio makubwa kwa CHADEMA.Ni hivi, Chadema ilishaimaliza ccm miaka mingi mno! Sasa inamalizia kupambana na vibaraka wa ccm ambao ni Polisi