Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
EndeleaKauli hizi toa nyumbani kwako, hapa utajibiwa tuuuu, hakuna wa kukupotezea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EndeleaKauli hizi toa nyumbani kwako, hapa utajibiwa tuuuu, hakuna wa kukupotezea.
Anaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.kumbe bado kuna watu wana ubaguzi katika nyakati hizi za ulimwengu kuunganika bila kua na mipaka?dah, 🐒
kwamba waTanzania kumkubalia, kumuamini na kumpenda Rais wao Dr Samia Suluhu Hassan imekua kero, right?🐒
CCM imekwisha kabisa, pamoja na kutumia Watekaji na Wauaji lakini imeshindikana. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya
Acha tuone hyo 23 ligi itavokua maana hii ni ligi jambo la suluhsho, energy kubwaa yaan tunaichelewesha Tz kwa vitu vdg sanaAnaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
ANdiko zuri,ila ni imani ya wengi kuwa sifa sii muhimu kama kupata majibu ya msingi ,ya kwanini andiko hili limetolewa leo.?Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
demokrasia ya mtindo na matakwa yako binafsi fanya na familia yako nyumbani.Anaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
Wewe unatakiwa uwe COMEDIAN mwenyewe,maana umeonesha ujinga wa kutotaka facts za mtoa uzii.Naona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho😄😄
Nguvu IPI? Ile tuliyoiona wakitembea na kufuta majasho? Au IPI?Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Wacha visingizio. Nenda kaandamane uone joto la jiwe.Mlikubaliwa kuandamana na mikutano ya hadhara.Mkaanza matusi na kejeli.Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Serikali ya CCM inaiogopa saaana chademaKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Andamana upate jibu la nani anaogopa.Wacha ushujaa wa mtandaoni.Serikali ya CCM inaiogopa saaana chadema
ndio akili yako ilipofikia, poleAndamana upate jibu la nani anaogopa.Wacha ushujaa wa mtandaoni.
Onyesha ya kwako. Kelele za mitandaoni haziwasaidii .Walk the walk andamaneni.Mliruhusiwa sera zenu zikawa matusi.Ustaarabu hamuuwezi.Siasa za matukio na matusi.ndio akili yako ilipofikia, pole
Kitendo cha kuleta jeshi zima la polisi dar wenye silaha za moto kukabiliana na waandamani wasio na silaha yeyote ndiyo uoga wenyewe...mbona mwanzo Samia mwenyewe alikuwa anawabeza maandamano yao? Samia ameanza kuzuia hata mikutano ya siasa. Usiku huu anakamata wafuas i wa chadema. Chadema ni thret kwakeAndamana upate jibu la nani anaogopa.Wacha ushujaa wa mtandaoni.
Michezo ya kitoto omefanya Askari wametanfa kila Kona ya jijiNdio sera za Chadema? Kucheza na akili, hivi unaelewa ulichoandika? Ni muda wa CHADEMA kuwaza sera zao waache michezo ya kitoto
Polisi waogope CHADEMA🙄 Unaheshimika sana kaka hebu andika vitu vyenye mantiki
Aah bwashee acha masihara aisee, huoni jamaa anakwambia eti serikali inaiogopa chadema?Naona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho😄😄