Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Huyu hatoweza. Atafeli kwa sababu upstairs kupo emptyAnaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
Ngosha was genius
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hatoweza. Atafeli kwa sababu upstairs kupo emptyAnaminya demokrasia na amekosea sana hapo ni kama Magufuli tena anaweza kumzidi kuanzia wiki ijayo.
Haki ni haki, haitegemei hisani au huruma ya mwanasiasa yeyote, umejaza makamasi kichwani weweOnyesha ya kwako. Kelele za mitandaoni haziwasaidii .Walk the walk andamaneni.Mliruhusiwa sera zenu zikawa matusi.Ustaarabu hamuuwezi.Siasa za matukio na matusi.
Sawa Joti wa Ze Komedey naona umevaa sidiria kama kawaida yako.Naona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho😄😄
Unaumia ivumilieeNaona hii inatakiwa kuwa jukwaa la vichekesho😄😄
Hivi kumbe wewe unaandika kwa sababu kuna ulichopewa? Itakua Mbowe amekupa kitu? Hebu tujuze ndugu na sisi tukachukuemo chochote kitu😁Nyie mama amewapa nini? Au mnatokea Zanzibar?
Babu Fey umeandika nini? Kwani kuna shida mtu akivaa sidiria? Au ndugu zako wa kike hawavai?Sawa Joti wa Ze Komedey naona umevaa sidiria kama kawaida yako.
Usiruke ruke Lesohoko tulia sindano iingie. Ni wewe uliyesema Chadema inacheza na akili, sijaona uhusiano wa kutafuta ndugu na kucheza na akili za watu. Endelea kueleza vizuri mnavyojiteka ili mcheze na akili za watu acha kujitilisha huruma kwa kukana maneno yakoKujua watu walikoshikiliwa ni utoto? Ungekuwa na ndugu kusikojulikana usingesema ni utoto ungejua umhimu wa wanaokusaidia kujua ndugu yako Yuko wap
. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishiKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Kwa hiyo unataka ubishe kila unachokiona.Huo ndiyo utoto kama ulikua hauujui.Ndio sera za Chadema? Kucheza na akili, hivi unaelewa ulichoandika? Ni muda wa CHADEMA kuwaza sera zao waache michezo ya kitoto
Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
View: https://x.com/odompopodo/status/1837040712837181889?t=ptaxlWS3oEDKzrwGNyc_Jg&s=09
Zee comedy showKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Ushindi huu hapa 👇👇Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Acha ujinga, fanyeni maandamano Kesho ndio mtajua hamjuiKama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au kutoka taifa kubwa duniani. Ni wazi kabisa kuwa hofu ya jeshi la polisi na uongozi wa nchi hii kwa CHADEMA ni kubwa sana.
Tafsiri yake:
1. CHADEMA inaogopwa sana kutokana na kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi
2. Watanzania wanaosemwa kuwa wapole na watulivu ukweli ni kwamba wanaogopwa kuliko majeshi ya nchi jirani
3. Viongozi wetu wapo tayari kutumia nguvu kupitiliza na hawako tayari kufanya mazungumzo na kusikiliza haja za wananchi
4. Watanzania wakiwa na umoja wanatatua matatizo sugu mara moja
5. Serikali ya Samia imeendelea kujitangaza kwa jumuiya ya kimataifa kama serikali yenye kutumia nguvu kupindukia na hairuhusu njia ya mazungumzo
Hitimisho
CHADEMA wameonesha nguvu kubwa kama chama cha upinzani kuweza kutetemesha vyombo vya dola na kwamba viongozi wa CHADEMA na CHADEMA kama taasisi ya kisiasa wana nguvu na ushawishi mkubwa sana katika nchi hii. Hata kama maandamano hayatafanyika, CHADEMA tayari wameshafikisha ujumbe, na kazi sasa ni kuendelea kushinikiza hadi hali ya uongozi wa nchi hii ibadilike.
Na wewe ni CCM?!Acha ujinga, fanyeni maandamano Kesho ndio mtajua hamjui