lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
- Thread starter
-
- #21
Mkuu taratibu uzi utafutwa...Unaweza hii ya DP World isionekane kama ilileta madhara lakini kuna vita ya chini chini juu ya jambo hilo,Ile ya Mpango kugoma kuendelea usichukulie poa, Lisu kuwa mwenyekiti wa chadema usichukulie kama ni rahisi kumbuka Lisu hakuwa na mpango huo. Je nani yupo nyuma ya mambo hayo?
Kabisaa,Sina uhakika kama jambo la padre aliyefanyiwa uvamizi lina connection na hii mada lakini niseme ikiwa kutakuwa na conflict kati ya government vs Roman catholic.Na bet government inaweza kutumia nguvu nyingi lakini mwisho ukawa mbaya(RC wanaweza wasifanye active confrontation lakini fitna zao nazijua vizuri nimekulia kanisani nikakaa jimboni nikiwa mdogo mapadre ni kitu kingine.Mungu asaidie pasiwepo na mgogoro wa namna hii)
Kama umeishi na wahaya au kukaa huko nadhani utakuwa unajua michezo yao(Michezo yao haina tofauti na RC walivyo,yani utaona kila kitu kipo sawa hakuna kelele lakini utaeleza tu)Acheni kutisha watu hamna uwezo huo
.Kaa kwa kutulia
BOTH,wakati tunasoma history mkuu ulikua wapiNi kanisa la kuongoza roho za watu kwenda mbinguni au ni taasisi ya ki inteligensia. ??
BOTH,wakati tunasoma history mkuu ulikua wapi
Sasa niseme there's is shortage of intelligence...Acha stori za kijinga dogo
Huwezi kua imara miaka 2000 Kama huna maarifa ya kusurvive..,Rais wa Ukraine kaenda ikulu ya marekani kavaa kisela,Ila kwenye msiba wa Pope kwa Mara ya kwanza kaonekana na suit,unafikiri Papa ni kiongozi wa dini tu?? kwanini Papa tu viongozi wote wale washiriki??si wangetuma wawakilishi?..means he's something elseAhaha.
Sawa.
Dunia imekaa kimchongo mchongo Sana hii
Hapo ameandika anaandika wana ushawishi Tanzania ila mimi namuambia wana ushawishi karibu dunia yote.Sina uhakika kama jambo la padre aliyefanyiwa uvamizi lina connection na hii mada lakini niseme ikiwa kutakuwa na conflict kati ya government vs Roman catholic.Na bet government inaweza kutumia nguvu nyingi lakini mwisho ukawa mbaya(RC wanaweza wasifanye active confrontation lakini fitna zao nazijua vizuri nimekulia kanisani nikakaa jimboni nikiwa mdogo mapadre ni kitu kingine.Mungu asaidie pasiwepo na mgogoro wa namna hii)
Sasa mpango kwa hali ile unategemea aendelee kweli, niambie wewe mwanasiasa gani wa kiafrica ukiacha mzee mwinyi aliyewahi kujiuzulu? Madaraka na hela usimpime nayo mwanaadamu hasa muafrika, yesu mwenyewe aliuzwa kwa hela sembuse umwambie mswahili atoke ccm kisa ukatoliki, wakati wao sadaka zao wanakula wao na vatican huko, halafu regime ikitoka kanisa litakusaidia nini, grow up hakuna kitu kama hicho, wote tunaamka asunuhi tunatafuta pesa akiwemo kitima acheni kudanganyana, hao waarabu mabao mnawaona wabaya kwa hela zao wamenunua kila kitu huko ulaya hadi airport kubwa kama heathrow, acheni utani na pesaUnaweza kuona kama hii ya DP World isionekane kama ilileta madhara lakini kuna vita ya chini chini juu ya jambo hilo,Ile ya Mpango kugoma kuendelea usichukulie poa, Lisu kuwa mwenyekiti wa chadema usichukulie kama ni rahisi kumbuka Lisu hakuwa na mpango huo. Je nani yupo nyuma ya mambo hayo?
Hivi kweli unategemea kwenye msiba kama ule mtu aende na jeans, ikulu ya marekani hata kina musk wanatinga na majeans yao tu, papa amekufa kama kiongozi mkubwa wa dini lazima azikwe vile ulitegemea nini zaidi? Ila hilo la wao kuigusa serikali yetu hilo msahau halitotokea na kila siku wataangukia pua ,hii nchi ina misingi imara sana kuliko mnavyodhania mtaishia kupiga kelele na kudanganyana, kuna waislamu,kuna pentekoste na jamii nyingi acheni kujidanganyaHuwezi kua imara miaka 2000 Kama huna maarifa ya kusurvive..,Rais wa Ukraine kaenda ikulu ya marekani kavaa kisela,Ila kwenye msiba wa Pope kwa Mara ya kwanza kaonekana na suit,unafikiri Papa ni kiongozi wa dini tu?? kwanini Papa tu viongozi wote wale washiriki??si wangetuma wawakilishi?..means he's something else
Kwa dunia ningeweza kuandika hata kurasa 50 na mifano walivyobadili siasa za nchi mfano Cuba na US.. umesema wa play smart?no hawawezi wamechelewa sana,viongozi wangapi wa ulinzi wanaomba msaada wa kiroho kwa mafaza? wangapi mateka?(guilt)wangapi waumini watiifu??mapandikizi pia wapo,level ya chini Hadi ya juu..Hapo ameandika anaandika wana ushawishi Tanzania ila mimi namuambia wana ushawishi karibu dunia yote.
Waliopo kwenye nafasi wanatakiwa kuplay smart sana na hawa jamaa.
Mungu gani wewe zile ni taasisi za kiutawala za zamani ambazo zimeshapoteza nguvu duniani, mlivyoambiwa muwe mashoga na papa mkawa wakali ,tofautisha taasisi za kiutawala na mambo ya mungu, ukizungumzia mungu bora hata wasabato naona wapo karibu na mungu kuliko hao wakatoliki, wingi si hoja, nimekupa mfano mmoja dp world waliipinga ila ipo hapa tanzania na si tanzania tu ipo duniani kote hadi marekani, acheni kujidanganayaTangu milele hadi milele, HAKUNA kiumbe chenye uwezo wa kulishinda Kanisa Katoliki. Mungu ndiye aliyependa iwe hivyo.
Utakua unamzungumzia Marehem Kanali Fabian MassaweKama umeishi na wahaya au kukaa huko nadhani utakuwa unajua michezo yao(Michezo yao haina tofauti na RC walivyo,yani utaona kila kitu kipo sawa hakuna kelele lakini utaeleza tu)
Aliwahi kuletwa jamaa kutoka Karagwe akiwa DC akapewa mkoa jina lake somebody Masawe(aliwahi pia kuongoza Ilala kama sijakosea).Ukipata muda kamuulize wahaya ni watu wa aina gani(hawatishi wapo wapo lakini usipofanya vile wanapenda kazi unayo ndio RC sasa)
Umeshindwa kuelewa kwenye Vita yeyote anaweza kushindwa,Ila upande wetu shida tutapata believe or not labda uwe hujui tu nchi zinaongozwa vipi, sio RC tu serikali haiwezi ku risk hata kua tofauti na waislamu kwa ujumla wao,ndio maana wana wagawa kila Siku.. ushaelewa??Hivi kweli unategemea kwenye msiba kama ule mtu aende na jeans, ikulu ya marekani hata kina musk wanatinga na majeans yao tu, papa amekufa kama kiongozi mkubwa wa dini lazima azikwe vile ulitegemea nini zaidi? Ila hilo la wao kuigusa serikali yetu hilo msahau halitotokea na kila siku wataangukia pua ,hii nchi ina misingi imara sana kuliko mnavyodhania mtaishia kupiga kelele na kudanganyana, kuna waislamu,kuna pentekoste na jamii nyingi acheni kujidanganya
Yes umoja wetu ndio muhimu kwa taifa unapotetea hoja za kidini na kugawa watu kisa dini yako hapo nsio tunakuona wewe ndio mkorofi itabidi tuungane wote tukatae hilo la kugawa watuUmeshindwa kuelewa kwenye Vita yeyote anaweza kushindwa,Ila upande wetu shida tutapata believe or not labda uwe hujui tu nchi zinaongozwa vipi, sio RC tu serikali haiwezi ku risk hata kua tofauti na waislamu kwa ujumla wao,ndio maana wana wagawa kila Siku.. ushaelewa??
Ndio huyo jamaa alikuja na mambo yake sijui usafi sijui baa zifunguliwe muda flani wazee siku moja uswahilini walisema jambo nikasema hapa huyu hatoboi na ilichukua muda mchache jamaa akatolewaUtakua unamzungumzia Marehem Kanali Fabian Massawe
Nagawa watu au naeleza hali halisi?hapa hoja udhaifu wa usalama wa taifa Hadi kuacha mamboo yakafika mbali hivi,Kauli ya Mwaipopo?matamko ya maaskofu,zote kutugawa and designer wa michongo hiyo Serikali wenyewe now Ina wa backfire..Yes umoja wetu ndio muhimu kwa taifa unapotetea hoja za kidini na kugawa watu kisa dini yako hapo nsio tunakuona wewe ndio mkorofi itabidi tuungane wote tukatae hilo la kugawa watu