Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

Wewe hujui Fitina za Roman niulize Mimi Niko na watu wa system wanaliogopa Vibaya sana na ukitaka kujua hata kama hao DP wanafanya kazi kwa nini wanafanya kwa kujificha jificha na Uoga? Ushawahi sikia hao DP wanajitangaza😂😂 wanaijua nguvu ya Roman ni lidude likubwa amekufa papa Mfalme wa Saud Arabia yupo ingawa hamna kanisa ndio utajua Roman ni nani. Nikukumbushe tu madikteta wote Wana record za kugusa wanasiasa wenzao lakini sio viongozi wa dini tena watagusa hizo NGOCHIRO sijui kina Kuhani Musa,Mwingira sijui shekhe kipoozeo ila sio hiyo idara ya Kijasusi Roman Catholic
Nachokuhakikishia hakuna wa kuzuia uchaguzi huu kufanyika, hakuna cha reforms wala nini, na samia atamaliza muda wake wa 5 years ,na hii itaendelea hadi generetion hii yetu ipite, upinzani kushinda kwa tanzania bado sana
 
Sina uhakika kama jambo la padre aliyefanyiwa uvamizi lina connection na hii mada lakini niseme ikiwa kutakuwa na conflict kati ya government vs Roman catholic.Na bet government inaweza kutumia nguvu nyingi lakini mwisho ukawa mbaya(RC wanaweza wasifanye active confrontation lakini fitna zao nazijua vizuri nimekulia kanisani nikakaa jimboni nikiwa mdogo mapadre ni kitu kingine.Mungu asaidie pasiwepo na mgogoro wa namna hii)
Achana kabisa na wale watu wanajidai wanaongea kwa utaratibu kumbe ni majasusi.tumekulia humo katoliki since childhood na wengine tumefadhiliwa sanaa na hawa watawa.tulipewa mpaka viatu nguo n.k ila najiuliza mpaka leo ivi wale watawa wakiitaliano walikuwa wema tuuu kufadhili jamii zetu namna ile??akili ya utu uzima inanipa kuwaza tofauti.ule haukuwa msaada tu they werw hunting for something
 
Colonialism
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Watu wanasoma Ila hawaelewi, kwenye post nimesema habari ya Parallel structure State..wakiguswa direct lazima wa react,Nani atapoteza hiyo sio hoja..Bora umeliweka vizuri
Huyu jamaa hawajui mapdre vizuri mimi nimekulia jimboni,jimbo la Rulenge kipindi Mwoleka ni askofu nawajua vizuri hawa jamaa wakisema hili jambo walichukue kama conflict na government watu wataona mengi
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."
Ndio maana CCM ina nguvu sana. Nyerere aliiunda kwa mfumo wa Kanisa Katoliki.
 
Achana kabisa na wale watu wanajidai wanaongea kwa utaratibu kumbe ni majasusi.tumekulia humo katoliki since childhood na wengine tumefadhiliwa sanaa na hawa watawa.tulipewa mpaka viatu nguo n.k ila najiuliza mpaka leo ivi wale watawa wakiitaliano walikuwa wema tuuu kufadhili jamii zetu namna ile??akili ya utu uzima inanipa kuwaza tofauti.ule haukuwa msaada tu they werw hunting for something
Kuna shirika walikuwa jimbo la Rulenge kipindi hicho wanaitwa makalkuta(jina naweza kuwa nimespell vibaya walikuwa wanatoa misaada kwa yatima wazee mpaka watoto,hawa jamaa Roman hawaijui vizuri naona)
 
Hakuna vitisho, hiko hivi Roman hawezi tisha government jaribu kutumia ubongo vizuri.

Government inamiliki majeshi yote huku kiongozi mkuu akiwa na command ya mwisho katika hayo majeshi lakini RC ambao wana cardinal anacommand gani kiasi cha kutisha.

Unajua kitu wanaita passive resistance au indirect confrontation?(RC ni wazuri kwa hili)

DP world kanisa lilikuwa linawaza maslahi yake kwanza kuona kama kuna mambo yatawagusa ndio maana hawakuwa active to that extent.Sitaki niseme mengi lakini kama panatokea conflict ya namna hiyo(Government vs RC) wote tutaona matokeo hakuna haja ya kufanya mambo kuwa mengi
Acha uogoa huko congo wanalivyofanya wanaopata madhara si hao hao wakatoliki...Hakuna vita kama mkitaka vita ya dini tutaingia mzigoni...Nyie mtakufa na sisi tutakufa ...Acha kutisha watu na mambo ya kufirikisha ..Hakuna mtu anawaogopa hata yule pala juzi hapa si amefariki.
 
Nimesema vizuri kiongozi labda unataka kufanya mambo yawe mengi

Serikali ina majeshi na kiongozi mkuu ndiyo anacommand ya mwisho kwenye majeshi yote lakini Roman cardinal wao ana kitu gani cha kutisha?Vingi hapa ni speculations tu lakini kama panatokea conflict mimi na wewe hatuna majibu.

Context ya bongo na Congo ni tofauti(jiulize kama kanisa halina nguvu mbona viongozi wako wa mwenge walikuwa wanakuja kucamp pale jimbo la Rulenge kipindi askofu ni Mwoleka ikiwa Ngara na Rulenge pana lodge za kutosha?)

Roman sio threat kwa serikali lakini sio wakuchulia poa kama panatokea conflict(na hii sio kitisho ni habari bure)
 
fafanua conflict mkuu
 
Mungu gani wewe zile ni taasisi za kiutawala za zamani ambazo zimeshapoteza nguvu duniani, mlivyoambiwa muwe mashoga na papa mkawa wakali ,tofautisha taasisi za kiutawala na mambo ya mungu, ukizungumzia mungu bora hata wasabato naona wapo karibu na mungu kuliko hao wakatoliki, wingi si hoja, nimekupa mfano mmoja dp world waliipinga ila ipo hapa tanzania na si tanzania tu ipo duniani kote hadi marekani, acheni kujidanganaya
Unasema Dp world waliipinga na ipo hapa,ila unasahau kwamba baada ya ule walaka bibi mwenye nyumba alienda kunegotiate Pope na mambo yakakaa sawa.
 
ikabadilisha kitu gani kuhusiana na dp world?
 
fafanua conflict mkuu
Conflict kati ya Roman na government mpaka sasa hakuna sema kuna speculations kibao baada ya tukio la padre ambaye ni kiongozi wa TEC.

Nilikuwa najaribu kutoa picha ya namna Roman wanafanya mambo yao(watu wengi wanaishi na mapadre sema hawajui ni watu wa aina gani lakini kama wanajua wale watu walivyo basi wasiombee hiki kitu kitokee)
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."
Kanisa linasimamia haki jamani - nchi yetu inaenda pbaya kwa maana dhuluma na uonevu umekithiri
 
Nimesema vizuri kiongozi labda unataka kufanya mambo yawe mengi

Serikali ina majeshi na kiongozi mkuu ndiyo anacommand ya mwisho kwenye majeshi yote lakini Roman cardinal wao ana kitu gani cha kutisha?Vingi hapa ni speculations tu lakini kama panatokea conflict mimi na wewe hatuna majibu.

Context ya bongo na Congo ni tofauti(jiulize kama kanisa halina nguvu mbona viongozi wako wa mwenge walikuwa wanakuja kucamp pale jimbo la Rulenge kipindi askofu ni Mwoleka ikiwa Ngara na Rulenge pana lodge za kutosha?)

Roman sio threat kwa serikali lakini sio wakuchulia poa kama panatokea conflict(na hii sio kitisho ni habari bure)
Acha kutisha hamuwezi kuifanya serikali chochote ...Hamna uwezo huo maisha
 
Nakujibu sentence ya mwisho!

I care my friend!I really care what's happening!I know the architect means something on this!!
Kifupi mwenye serikali anatishiwa na kijana aliemweka mwenyewe kwenye serikali!

Ngoja tuone nani mshindi!!
 
Back
Top Bottom