Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

Acha kutisha hamuwezi kuifanya serikali chochote ...Hamna uwezo huo maisha
Kila la kheri kiongozi nimeweka sawa kanisa halina nguvu ya kutisha(halina majeshi halina vifaru) lakini mkumbushe mtawala wako asiweke siraha zake chini na hawa watu.Siku zote wao huwa ni amina tu
 
Unasema Dp world waliipinga na ipo hapa,ila unasahau kwamba baada ya ule walaka bibi mwenye nyumba alienda kunegotiate Pope na mambo yakakaa sawa.
Wewe acha porojo kwa hiyo kila raisi akienda vatican ni kwa ajili ya dp world? Hii dp world ipo hadi uingereza na marekani ambao ndio walionzisha mambo ya bandari, hiyo airport kubwa ya uingereza inamilikiwa na waarabu, kinachotusumbua ni udini na uchoyo kisa wale ni waarabu hata huyo papa hana muda wa kufuatilia ujinga wa namna hii, aache kufuatilia mauji ya mapadri huko nigeria afuatilie mtu kupewa tender, huko kwao italy na argentina dp world ipo tatizo ushamba unatusumbua
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Msingi wa kanisa kuwa na nguvu ni Mmoja TU. Kanisa Lina mahusiano na watu waamini hadi milele. Serikali ni mpito TU, yaani regime ikichange maana yake kama huyu muumini alitakiwa aliumize kanisa na waliotoa amri hiyo hawapo madarakani tena basi huumia milele. Hivyo mtu huyo huegemea kanisa zaidi kuliko regime.

Na wengine huenda mbali zaidi kuwa double agent.
 
Kuna kitu kinaendelea nahisi,na hisia zangu zipo sahii 85%..Kuna watu wanamshauri rais vibaya hili alaumiwe kwa makusudi,sio rahisi mkuu kujifitini mwenyewe,anaingia kwenye mitego ya kitoto sana ambayo kwa mtu makini huwezi kuingia,mfano kukamatwa Lisu,bad move,..kushambuliwa Padre..I don't know
Upo akilini mwangu!najiuliza shambulizi la kitima linaongeza kura kiasi Gani Kwa mama!!?
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."
Kwakufupi mapadre wengi mnao waona ni wasomi wana fursa nzuri za kusoma
 
Conflict kati ya Roman na government mpaka sasa hakuna sema kuna speculations kibao baada ya tukio la padre ambaye ni kiongozi wa TEC.

Nilikuwa najaribu kutoa picha ya namna Roman wanafanya mambo yao(watu wengi wanaishi na mapadre sema hawajui ni watu wa aina gani lakini kama wanajua wale watu walivyo basi wasiombee hiki kitu kitokee)
okay, any case study ya nchi yeyote?
 
Mimi naamini serikali isingechukua hatua ya kumshambulia Fr Kitima ukizingatia nafasi yake na usigani uliopo kati ya Kambi ya Vatican na Wazee wa mzizima! Serikali isingeweza kufanya maamuzi ya kijinga namna hiyo na kuchukua liability kubwa kiasi hicho ya kupigana vita na wahafidhina wa Kanisa Katoliki

Hesabu zangu zinanishawishi kuwa kuna kikundi fulani ndani ya chama kikuu au Upinzani kinataka kuichonganisha serikali na wananchi kupitia usigani uliopo na makanisa hususan kanisa Katoliki juu ya haki za kiraia
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."
Kanisa Katoliki linahisiwa na watu wasio na ufahamu mzuri ni jinsi gani linavyojiendesha au kufanya kazi, this I know. Nimekuwa mtumikiaji miaka mingi sana, nikasoma falsafa miaka 3 (Tz, lakini si Ntungamo wala Kibosho au Peramiho), nikafanya mwaka mmoja wa malezi ya kiroho (Zambia), miaka 2 ya pastoral experience Malawi, nikaenda kusoma teolojia Uingereza miaka 3, nikafanya kazi miaka 5 (Malawi), na nimeendelea kuwa Mkatoliki muda wote huo hadi leo, lakini sijawahi kukutana na haya unayotaka kutuaminisha. After all, wakati wa maungano padri is not interested kusikia dhambi za waumini, bali kusali kwa imani (to accompany anayeungama) apate huruma ya Mungu. Wakati wa kuungama kunamfanya padri azidi kujiona kwamba wote wawili - anayeungama na anayeungamisha - wanahitaji neema/huruma ya Mungu. Hii ndiyo experience yangu na si kujua au kutaka kujua dhambi za waumini. Padri anaweza kuungamisha kuanzia asubuhi hadi mchana au jioni. Hebu niambie atakumbuka dhambi ngapi. Kuna baadhi ya parokia wameweka sehemu ya kuungama, ambapo anayeungama hajui anaungama kwa padri gani, na wala padri hajui anamuungamisha nani. Labda kutokana na sauti padri anaweza kujua aliyeungama ni mwanamke, mwanaume au mtoto. Kwa hiyo, kuungama ni sehemu ya ibada, na si njia ya kutafuta taarifa au habari. Padri au askofu ana njia nyingi za kujua kinachoendelea katika jamii kwa sababu anaongea na waumini mbalimbali kila siku kuanzia asubuhi hadi jioni. Watu watamwambia padri yule kijana aliyekuibia amechomwa moto, sasa hivi utekaji umekirithiri, mwaka huu kuna njaa kwa sababu wakulima wamechelewa kulima, etc na hizi taarifa padri anaxipata bila hata kuuliza. Hivyo, tujifunze kutosema uwongo, na tusipende kusema uwongo.
 
Ndio uache kusema uongo mkuu,
 
okay, any case study ya nchi yeyote?
Kanisa kuwa na conflict na government katika context kama hii sijui labda kasome french revolution kanisa lilihusika,nazi Germany,china and Mexico.Mimi hapa nilikuwa naongelea namna mapadre wanavyobeba jambo kwa maana toka mdogo mpaka miaka kama 17 nlikuwa nao nawajua vizuri
 
Msingi wa kanisa kuwa na nguvu ni Mmoja TU. Kanisa Lina mahusiano na watu waamini hadi milele. Serikali ni mpito TU, yaani regime ikichange maana yake kama huyu muumini alitakiwa aliumize kanisa na waliotoa amri hiyo hawapo madarakani tena basi huumia milele. Hivyo mtu huyo huegemea kanisa zaidi kuliko regime.

Na wengine huenda mbali zaidi kuwa double agent.
Na hao double agent hawana madhara makubwa kwa kanisa ukilinganisha na hasara itakazopata regime au nchi kwa ujumla
 
Kama wana intelejensia wangejua kuhusu kutolewa manundu kwa mtu wao
 
Kanisa kuwa na conflict na government katika context kama hii sijui labda kasome french revolution kanisa lilihusika,nazi Germany,china and Mexico.Mimi hapa nilikuwa naongelea namna mapadre wanavyobeba jambo kwa maana toka mdogo mpaka miaka kama 17 nlikuwa nao nawajua vizuri
sawa mkuu, muda utaeleza -
 
Kuna watu wanapiga kelele pasipokujua utii Kwa viongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko serikali.

Kumbuka unaapa Kwa dini Yako
Ukifautazikwa ni dini Yako
Utahukumiwa Kwa matendo Yako.
Na utatseka Kwa matendo na mienendo hiyo.

Upandewa pili wanasiasa wanaitaka
Upingane na viongozi wako wa dini
Na Hawa baada ya miaka 5 hawapo.

Pili likienda vibaya wanakugeuka na mwisho utahukumiwa Kwa matendo Yako.

Hapa dhamira na busara itakuambia Bora ufe Kwa kumcha Mungu.

Utii Kwa dini ni mkubwa kuliko Kwa serikali.

Imagine makanisa yote yaitishe maandamano ya kulaani kitendo cha kuvaliwa padri. Unajua response yake ni kubwa sana na humo hatawanaccm watakuwepo
 
Sina uhakika kama jambo la padre aliyefanyiwa uvamizi lina connection na hii mada lakini niseme ikiwa kutakuwa na conflict kati ya government vs Roman catholic.Na bet government inaweza kutumia nguvu nyingi lakini mwisho ukawa mbaya(RC wanaweza wasifanye active confrontation lakini fitna zao nazijua vizuri nimekulia kanisani nikakaa jimboni nikiwa mdogo mapadre ni kitu kingine.Mungu asaidie pasiwepo na mgogoro wa namna hii)
Mfano halisi ni kilichotokea Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.
 
Kama umeishi na wahaya au kukaa huko nadhani utakuwa unajua michezo yao(Michezo yao haina tofauti na RC walivyo,yani utaona kila kitu kipo sawa hakuna kelele lakini utaeleza tu)

Aliwahi kuletwa jamaa kutoka Karagwe akiwa DC akapewa mkoa jina lake somebody Masawe(aliwahi pia kuongoza Ilala kama sijakosea).Ukipata muda kamuulize wahaya ni watu wa aina gani(hawatishi wapo wapo lakini usipofanya vile wanapenda kazi unayo ndio RC sasa)
Marehemu Kanali Fabian Massawe
 
Back
Top Bottom