Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

Hapo ameandika anaandika wana ushawishi Tanzania ila mimi namuambia wana ushawishi karibu dunia yote.

Waliopo kwenye nafasi wanatakiwa kuplay smart sana na hawa jamaa.
Yeah nguvu yao hipo kila sehemu sema hapa nlikuwa najaribu kumpa mfano wa tabia za mapadre ambao nimeishi nao toka udogoni.Ogopa mtu utamfanyia ubaya akabaki anacheka tu(hawa jamaa wanajua fitna na wanajua namna ya kujipenyeza kwa watu taratibu hili wakukwamishe,trust me katika hili hawatakuja na kauli ya pamoja kwa waumini lakini najua kuna kitu watafanya nyuma ya pazia)
 
Tabia zao zimejengwa na elimu yao,huwezi kua padre Kama hujasoma Philosophy..HIYO LAZIMA Sasa elimu ya filosofi si ndio uchawi wenyewe about anything..
 
Hivi kweli unategemea kwenye msiba kama ule mtu aende na jeans, ikulu ya marekani hata kina musk wanatinga na majeans yao tu, papa amekufa kama kiongozi mkubwa wa dini lazima azikwe vile ulitegemea nini zaidi? Ila hilo la wao kuigusa serikali yetu hilo msahau halitotokea na kila siku wataangukia pua ,hii nchi ina misingi imara sana kuliko mnavyodhania mtaishia kupiga kelele na kudanganyana, kuna waislamu,kuna pentekoste na jamii nyingi acheni kujidanganya
Kuna kitu kinaitwa fitna(ni kitu negative,hivyo mtu huwezi kuwa proud nacho lakini hiki kitu Roman wanakijua vizuri)

Tofauti na muislam ambaye ukimkwaza atakupa makavu mtamalizana lakini hawa watakupa sura ya kondoo lakini kimya kimya wanakuangusha(jambo lao huwa halina haraka sana lakini huwa linatimia na hii ndio hofu yangu kubwa)
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."

Waliompiga Fr. Kitima wanajulikana. Hawana pa kujificha.

Na Tanzania ni kubwa kuliko hawa wajinga wachache ambao wanataka kuifanya Tanzania ni mali yao binafsi.

Kusema ukweli sio kosa. Katiba inaruhusu watu watoe maoni yao.
Kuteka na kuua au kujeruhi ni uhalifu. Na nchi sio mali binafsi ya walio na madaraka
 
Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight in Africa (Journey from Bukene) utajifunza kwamba kuna Taasisi za siri zilianza tangu enzi za ukoloni kutawala na kuendesha Serikali kwa mlango wa nyuma,.

Je intelligence yao Ina nguvu kiasi gani??

Tafsiri ya Intelligence organization ni Uwezo wa kutafuta taarifa,kuzipokea,kuzichakata na kuzichambua ili ku improve security measures,faida za kibiashara,kulinda usalama wa nchi au Taasisi , Na sababu yeyote ile itakayofaidisha taasisi..Kuna Organization nyingi za intelijensia Kama Mossad,TISS,CIA,Roman Catholic Wao ya kwao inaitwa OPUS DEI(Work Of God)..

Jinsi wanavyopata Taarifa,.
Kuna nyimbo ya Rap ya BIG Sean ft Kanye west inaitwa Blessings Kuna remarkable line anasema

" I tell the truth Father forgive me these are all my confessions"

Jamaa anaungana kwa padre dhambi zake Zote, Fikiria Tanzania Kuna maelfu ya makanisa ya RC,waumini milion kadhaa,.haijalishi wangapi wanaungama ila kwa wanaoungama na kusema ya rohoni kwa Fadha kanisa linajua kuhusu Ualifu,Dhamira, Mipango,Nia,Mashaka ya watu,.Hata kiongozi mkuu alipoona siku zake zipo mwisho alimuita Askofu amuongoze Sala ya toba na kuungama dhambi zake,je wanayojua na kusikia yanaishia Kanisani??No wanaandika ripoti inatumwa Vatican

Vatican kiongozi mkuu Pope,Vatican inatambulika Kama nchi huru na mataifa 180..
so viongozi wa RC katika nchi yeyote Ni Kama mabalozi wa Vatican...Kuna baadhi ambao Wana mafunzo ya Upelelezi,infiltration,Lugha,Persuasion na diplomasia..

Kanisa la RC lipo katika maeneo ambayo Serikali haijafika,Niliwahi kufika mahala hakuna serikali,no umeme,No maji,hakuna polisi Wala mwenyekiti wa Kijiji Ila Kuna landcruiser na masister wanaenda kila week,hii Ina maana wanakusanya taarifa kuanzia ngazi ya chini kabisa Hadi parokia..

Hii sio nzuri kwa usalama maana serikali ilinyima elimu watu wa chini,MTU ambae Hana elimu anashika dini vizuri Sana na kauli ya Kiongozi wake wa kidini Ni zaidi ya kauli ya mwanasiasa na rahisi kua manipulated,kila jumapili wanajazana Kanisani Kama kanisa Likitoa "waraka wa jumapili" na usomwe kila kanisa Jambo linaweza tokea..

Sababu TISS wameacha jukumu lao la msingi now wamebaki na mambo mawili tu..kupambana na Siasa za upinzani na kulinda Regime,RC Ni chess master, Vijana waliosoma shule zao leo wapo kwenye uongozi, madaktari,walimu,wanajeshi,na wote wametengenezwa kua waaminifu..

Kama Kuna Jambo lolote wanashindania au Wana mgogoro RC na regime,.Pesa zangu na bet kwa RC..Mnakumbuka Poland na Pope John II??

"there is no shortage of intelligence, or "agency"

the real problem is that none of you care about anything."
kosa baya sana hili kumshambulia kitima tena kwenye maeneo yake ya kazi, wakatoliki wanaona kama kanisa ndio limeshambuliwa. wana haki ya kupata maumivu ya moyo, it was not worthy it. Nadhani samia anatakiwa awe makini sana, alilikuta taifa hili limeungana sana, aliache likiwa limeungana, kwani kikwete yuko wapi amshauri huyu mama? hivi anajua maana halisi ya kitima kushambuliwa au haelewi? na ili aonekane hajapendezwa, mbona hajatoa tamko wakati leo alikuwa na audience kwenye mei mosi? si angechomekea walau ili taifa litulie?
 
Ni mtu mjinga tu atagombana na kanisa katoliki. Waarabu pamoja na umafia wao wa kujitoa muhanga ila wanawaogopa sana katoliki. Uzuri wa katoliki hutakuja kuona wanapayuka kulipiza kisasi ila utaona matendo yanatokea. Ona DRC Congo inavyohangaika na vita na umasikini
Duuh leo nilikukumbuka bwana Mtani wangu wa kisiasa. Kumbe bado upo?
 
kosa baya sana hili kumshambulia kitima tena kwenye maeneo yake ya kazi, wakatoliki wanaona kama kanisa ndio limeshambuliwa. wana haki ya kupata maumivu ya moyo, it was not worthy it. Nadhani samia anatakiwa awe makini sana, alilikuta taifa hili limeungana sana, aliache likiwa limeungana, kwani kikwete yuko wapi amshauri huyu mama? hivi anajua maana halisi ya kitima kushambuliwa au haelewi? na ili aonekane hajapendezwa, mbona hajatoa tamko wakati leo alikuwa na audience kwenye mei mosi? si angechomekea walau ili taifa litulie?
Kuna kitu kinaendelea nahisi,na hisia zangu zipo sahii 85%..Kuna watu wanamshauri rais vibaya hili alaumiwe kwa makusudi,sio rahisi mkuu kujifitini mwenyewe,anaingia kwenye mitego ya kitoto sana ambayo kwa mtu makini huwezi kuingia,mfano kukamatwa Lisu,bad move,..kushambuliwa Padre..I don't know
 
mwanamke ni mwanamke tu, wengi huwa hawajiongezi kwa akili za mbayuwayu wakishauriwa. mwaka huu ni wa uchaguzi, sio busara kabisa kwa mpambanaji anayehitaji favour ya wananchi, kumkamata Lisu na kumweka ndani, na pia kuruhusu au kufurahia Padre aliyekuwa anamkosoa ashambuliwe. nasema kufurahia kwa sababu nilitegemea leo hii siku ya meimosi alipoongea na taifa, angegusia hilo ili kunawa mikono kama alivyofanya kwa mzee kibao ambaye watu wanasema aligusia kwa sababu ni muislam mwenzie na ni muarabu fulani ambaye angeungwa mkono na waislam. binafsi pamoja na kwamba nina dini na naipenda, naamini Tanzania tunatakiwa kuzuia mambo yeyote yanayoweza kutugawa kidini. wamshauri vizuri asafisha hali ya hewa ambayo vijana wake wamemchafulia.
 
Kuna kitu kinaendelea nahisi,na hisia zangu zipo sahii 85%..Kuna watu wanamshauri rais vibaya hili alaumiwe kwa makusudi,sio rahisi mkuu kujifitini mwenyewe,anaingia kwenye mitego ya kitoto sana ambayo kwa mtu makini huwezi kuingia,mfano kukamatwa Lisu,bad move,..kushambuliwa Padre..I don't know
Mmh Rais wa Tanzania halazimiki kufata ushauri wa mtu yeyote pale anapotekeleza majukum yake.

Miwisho wa kunukuu
 
Kama umeishi na wahaya au kukaa huko nadhani utakuwa unajua michezo yao(Michezo yao haina tofauti na RC walivyo,yani utaona kila kitu kipo sawa hakuna kelele lakini utaeleza tu)

Aliwahi kuletwa jamaa kutoka Karagwe akiwa DC akapewa mkoa jina lake somebody Masawe(aliwahi pia kuongoza Ilala kama sijakosea).Ukipata muda kamuulize wahaya ni watu wa aina gani(hawatishi wapo wapo lakini usipofanya vile wanapenda kazi unayo ndio RC sasa)
Hakuna mtu anaogopa ,acha kutisha watu tangu DP world wamefanya nn? Wa kiume wewe achana na hizi mambo ya kutisha watu.
 
una hoja ila kwa dunia ya sasa mambo yamebadilika duniani kote regimes zina nguvu kweli kweli na ndani ya regimes kuna hadi hao wakatoliki na dini nyingine na wato wenye ushawishi kila kona ya dunia, ndio maana unaona hata swala la dp world waliangukia pua, dp world ipo hadi marekani dunia ya sasa ya kibepari watu wanaangalia maslahi and nothing else, hiyo habari ya dini wamebaki nayo wajinga tu, mgao wa escrow kuna mtu aliukataa? ndio ujue nguvu ya hela
Wewe hujui Fitina za Roman niulize Mimi Niko na watu wa system wanaliogopa Vibaya sana na ukitaka kujua hata kama hao DP wanafanya kazi kwa nini wanafanya kwa kujificha jificha na Uoga? Ushawahi sikia hao DP wanajitangaza😂😂 wanaijua nguvu ya Roman ni lidude likubwa amekufa papa Mfalme wa Saud Arabia yupo ingawa hamna kanisa ndio utajua Roman ni nani. Nikukumbushe tu madikteta wote Wana record za kugusa wanasiasa wenzao lakini sio viongozi wa dini tena watagusa hizo NGOCHIRO sijui kina Kuhani Musa,Mwingira sijui shekhe kipoozeo ila sio hiyo idara ya Kijasusi Roman Catholic
 
Empty threats!
Mind candy for the fools!

Kama Wana hiyo intelligence si watuambie nani amemshambulia Katima case iishe! Mbona wanataka polisi ndo wafanye uchunguzi!

BTW, kufanya ujasusi katika nchi nyingine kwa manufaa ya nchi au taasisi nyingine ni high crime wengine wanaita espionage!

Kumbe maungamo yetu mnarekodi mnaenda kuchakata! Nikija nitaungama utumbo tu!
 
Hakuna mtu anaogopa ,acha kutisha watu tangu DP world wamefanya nn? Wa kiume wewe achana na hizi mambo ya kutisha watu.
Hakuna vitisho, hiko hivi Roman hawezi tisha government jaribu kutumia ubongo vizuri.

Government inamiliki majeshi yote huku kiongozi mkuu akiwa na command ya mwisho katika hayo majeshi lakini RC ambao wana cardinal anacommand gani kiasi cha kutisha.

Unajua kitu wanaita passive resistance au indirect confrontation?(RC ni wazuri kwa hili)

DP world kanisa lilikuwa linawaza maslahi yake kwanza kuona kama kuna mambo yatawagusa ndio maana hawakuwa active to that extent.Sitaki niseme mengi lakini kama panatokea conflict ya namna hiyo(Government vs RC) wote tutaona matokeo hakuna haja ya kufanya mambo kuwa mengi
 
Watu wanasoma Ila hawaelewi, kwenye post nimesema habari ya Parallel structure State..wakiguswa direct lazima wa react,Nani atapoteza hiyo sio hoja..Bora umeliweka vizuri
 
Wewe hujui Fitina za Roman niulize Mimi Niko na watu wa system wanaliogopa Vibaya sana na ukitaka kujua hata kama hao DP wanafanya kazi kwa nini wanafanya kwa kujificha jificha na Uoga? Ushawahi sikia hao DP wanajitangaza😂😂 wanaijua nguvu ya Roman ni lidude likubwa amekufa papa Mfalme wa Saud Arabia yupo ingawa hamna kanisa ndio utajua Roman ni nani. Nikukumbushe tu madikteta wote Wana record za kugusa wanasiasa wenzao lakini sio viongozi wa dini tena watagusa hizo NGOCHIRO sijui kina Kuhani Musa,Mwingira sijui shekhe kipoozeo ila sio hiyo idara ya Kijasusi Roman Catholic
Fitna haifanyi kazi kwenye hela na power, ndio maana pamoja na juhudi za bwana kitima alijikuta yupo kwenye sherehe ya kuikaribisha dp world na hakufurukuta tena
Hakuns cha maslahi kuguswa wala nini its obvious walishindwa.
Huko nigeria ndio kila siku catholic cardinals na leaders wanauliwa for the past decade 150 catholic priests wameuliwa na hakuna kilichofanyika, dunia inaenda kasi sana acha kukariri, watu wanaangalia fursa sio imani
 
Huwezi kua imara miaka 2000 Kama huna maarifa ya kusurvive..,Rais wa Ukraine kaenda ikulu ya marekani kavaa kisela,Ila kwenye msiba wa Pope kwa Mara ya kwanza kaonekana na suit,unafikiri Papa ni kiongozi wa dini tu?? kwanini Papa tu viongozi wote wale washiriki??si wangetuma wawakilishi?..means he's something else
Wacha uongo wewe.Angalia picha akiwa na Trump Vatican kavaa vile vle anavyovaa kila siku.Na akaulizwa na mwandishi wa habari " Lini utavaa suti"? akajibu tukishinda vita.
Wacha uzushi na mikwara mbuzi.Ndio yale yale ya Tanzania wakati ule wa Nyerere eti tulikuwa wazuri kwa upelelezi wa kimataifa. Tulikuwa namba 4 duniani. Mnajazana uongo.
 
Mmh Rais wa Tanzania halazimiki kufata ushauri wa mtu yeyote pale anapotekeleza majukum yake.

Miwisho wa kunukuu
ni muhimu kuelewa pia kwamba, rais sio mfalme, mfalme hachaguliwi, ila rais anachaguliwa, maana yake anatakiwa kuwasikiliza wale waliomweka pale kwenye kiti. jambo la msingi sana hili.
 
Back
Top Bottom