Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

kwasababu mimi ni mtu mungwana na mwenye weledi wa kiwango cha juu sana humu jukwaani, nafuta kauli iliyokukwaza binti mrembo,

nakuomaba radhi kwa kila mahali ambapo nilighafilika kwa maoni na mtazamo mgumu sana kuhusu mjadala uloibua na kufanya unichukie sana, licha ya kwamba mimi ni mpenzi wa watu wanaonichukia.

Nachelea kuesema haya mbele ya wadua wa JF kwamba,
I love you ndugu mwananchi without a single reason and without a plan to meet you :putinWalk:
mimi kama mmoja wa wanaJamiiAfrica niseme tu kuwa umefanya kitu cha kiungwana, kongole kwa hilo.
 
Utakuta naye yumo humu jesca maghufuli naye anahoji hivi huyo jesca Alipataje four akaenda chuo🤣degree
 
Utakuta naye yumo humu jesca maghufuli naye anahoji hivi huyo jesca Alipataje four akaenda chuo degree
Haha kama unamjua mtajee nani anaemjua amtaje ajipe kichwa ajisifie 🙂
 
OP ushasekwa rumande..😹😹
Mbunge huyo shauri zako, ngoja nimwambie akuletee msosi selo 🤣
Umeshindwa hata kuniletea msosi selo?
Ndio nimetoka hapa.
Nina dk 6 tangu nitoke saa 6 kamili usiku huu
 
Back
Top Bottom