Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
- Thread starter
- #181
Nakubaliana nawewe mkuu [emoji817]Kama usiri haujalindwa utajuaje?
Na kitendo Cha Melo kuwa karibu na viongozi wa serikali, unaamini Kuna usiri..
ilitakiwa hata mmiliki asiwe na uwezo wa kujua utambulisho wako.
Yaani hata yeye asijulikane..
Kitendo Cha yeye kujulikana ni rahisi sana wew kupatikana!
Ataombwa atoe ushirikiano tu.
Kiujumla tuwe na staha kweny Lugha zetu na tusiwe na matusi.
Kweny ukweli tuongee hata Kama unauma
Sheria za mtandao huu ziko wazi, sheria za faragha na kanuni kwa watumiaji.
