Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

labda heche na huyo sarungi ndio watu waoga na wazushi wa kujificha kwenye ids fake, na maisha fake,
but myself hata ukija jimboni kwangu utanipata kirahisi na tena kusaidiwa kwa haraka sana na kila mwananchi jimboni ukitaja tu unamuhitaji mh.@Tlaatlaah :BASED:
🤣🤣🤣🤣 The funny side of this beautiful fraternity. 👊
 
Ndo maana mabadiliko kila uchwao, ujue Remote iko kazini, ni kubonya tyuu chwii,
😂😂😂😂😂
Acha watu waringe na fake id zao huku mada zao ni mapenzi na simba na Yanga tuu, ila wakigusa pasigusika watadakwa vzr tuu
 
Maiti za Whistle blowers zitakkuwa zikiokotwa asubuhi na jioni.
ni hatari kwa kweli, watu watakuwa wananyakwa usiku na mchana, dola haitapenda maslahi yake yatishiwe na mtu yeyote. Wadamdaka kirahisi
 
Back
Top Bottom