LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
duh! Una umbo zuri!Kha!
Mbona sijakutaja popote kaka?
duh! Una umbo zuri!Kha!
Mbona sijakutaja popote kaka?
Asantw sanaduh! Una umbo zuri!
Maiti za Whistle blowers zitakkuwa zikiokotwa asubuhi na jioni.Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Kama Maxence Melo aliweza kumshinda Dikteta Magufuli kwenye kesi zaidi ya 3 za kutaka kujua IDs za watu au kuhamishia servers za JF kutoka Ulaya kuja hapa Tz, sidhani kama kuna mtu mwingine anaweza kufanikiwa. Jf foreverTangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
Amina mkuu.Mimi naona JF sasa ndio imefikia level ya juu ya heshima, maana unapata kila kitu humu. Wanaopenda maneno ya uzima ili waende mbinguni, wanayapata humu. Waliochagua njia pana iendayo upotevuni wanapata yanayowafaa.
Mt 7:13-27
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Sio kuna sheria inayotaka server siwe tzKama Maxence Melo aliweza kumshinda Dikteta Magufuli kwenye kesi zaidi ya 3 za kutaka kujua IDs za watu au kuhamishia servers za JF kutoka Ulaya kuja hapa Tz, sidhani kama kuna mtu mwingine anaweza kufanikiwa. Jf forever
SawaMbona mimi nafuta taratibu zote za kuwa nawe.
Uhuni uhuni sina.
Hiyo ndiyo moja ya kesi alizoshinda. Yawezekama vikoa vya umma tu ndiyo vinaihusu hiyo sheriaSio kuna sheria inayotaka server siwe tz
Sasa ndo mtu utekwe kisa unakataa ndoa?haha we hujui kataa ndoa wengi wameoa fake id inasaidia unakuta unabishana na mke wako bila kujuana
Wakikataza fake ID's utakuja kwa jina gani?mimi ni credible individual ever, nationally and internationally, ni champion wa sustainable development in technology,
so,
siana pakwendra, ispokua nitakua ndrani ndrani kabisa ya mabadiliko hayo muhimu sana JF,
wafahamishe na wengine![]()
Mwaka 2006 ilikuwa inaitwa Jambo Forum.Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
Mshangazi dot com huyu huyu ambaye jana kashauri members wote wawe verified?Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
Kama muheshimiwa unatakiwa kuja na majina mawili na kuendelea mfana Samia Suluhu Hasanjina langu ni hili hili Tlaatlaah sina jina ingine gentleman, sina jina fake![]()