Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Kabisa mkuu, unakuta mtu anaringia fake id ety yupo huru afu mada zake n za mapenzi tuu
haha we hujui kataa ndoa wengi wameoa fake id inasaidia unakuta unabishana na mke wako bila kujuana
 
Akisagwa nyeti atakutaja na Kila kitu kitakuwa black and white.
Kuna zile nyundo zina ujazo mzito kwenye mabichwa yao... unakuta jundo lina bichwa kubwa halafu mshikio mwembamba salaleehh..... venye likishushwa usawa wa pumbuh unataja majina yote.... 🥲🥲

Pumbu linawekwa kwenye kisosi jamani shemeji 🥲🥲🥲

Cc: Mbaga Jr
 
Ila kweli.
Kawekwa kwa makusudi kabisa.
Kikiwaka, anawaka na sisi.
Aisee
Huoni kipindi kile cha uchaguzi watu walimvaa wanataka ip address za watumiaji.......huku cheza kwa step,,huyo nae ni binadamu ana familia na ndugu sio unajiachia ukijua unacheza gizani huonekani ,mda wowote kikinuka taa inawashwa
 
Kumbe najibishana na joining Jan 5 mwaka huu?
Ngoja nikapike zangu
Screenshot_20250428_134539_Google.jpg
 
Huoni kipindi kile cha uchaguzi watu walimvaa wanataka ip address za watumiaji.......huku cheza kwa step,,huyo nae ni binadamu ana familia na ndugu sio unajiachia ukijua unacheza gizani huonekani ,mda wowote kikinuka taa inawashwa
Mungu wangu hapo kwenye bold ndio nimepaelewa zaidi.
Hawezi kuacha familia iteseke kisa utatuzi unaweza patikana
🤔🤔🤔
Kweli huku ni kukaa kwa password mkuu.
Dah!
 
Kuna zile nyundo zina ujazo mzito kwenye mabichwa yao... unakuta jundo lina bichwa kubwa halafu mshikio mwembamba salaleehh..... venye likishushwa usawa wa pumbuh unataja majina yote.... 🥲🥲

Pumbu linawekwa kwenye kisosi jamani shemeji 🥲🥲🥲

Cc: Mbaga Jr
Yaani we acha tu shemeji maana inafikirisha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
 
Mungu wangu hapo kwenye bold ndio nimepaelewa zaidi.
Hawezi kuacha familia iteseke kisa utatuzi unaweza patikana
🤔🤔🤔
Kweli huku ni kukaa kwa password mkuu.
Dah!
Familia iteseke kisa keyboard warrior nusurati😁😁😁😁😀
 
Mimi naona JF sasa ndio imefikia level ya juu ya heshima, maana unapata kila kitu humu. Wanaopenda maneno ya uzima ili waende mbinguni, wanayapata humu. Waliochagua njia pana iendayo upotevuni wanapata yanayowafaa.

Mt 7:13-27
Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
 
Shukrani mtumishi katika BWANA, wewe una maoni yapi kuhusu usiri(anonymity) ya members? ni nzuri au la?
 
Suala la kupiga bao mapema sana pia hutegemea aina ya mwanamke uliyekutana naye yukoje. Umbile la uke wake na hali ya joto la mwili wake
 
Back
Top Bottom