secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Siamini kama ni mtego na kama ni mtego basi niko tayari kunaswa.Mtego huo shauri yako
Usije sema hukuambiwa
Siamini kama ni mtego na kama ni mtego basi niko tayari kunaswa.Mtego huo shauri yako
Usije sema hukuambiwa
🤣Zipo hata namba za simu ni miaka ya karibuni ndio waliziondoa, akaunti mil30 ziliibiwa taarifa tena kirahisi, ushawahi kusikia ID ya JF imedukuliwa mkuu?
Hahaha nimesikia za chinichini eti kuna mabadiliko yanakuja, sasa nimeanza kupagawa hata mimi aunt, nawaza wakinijua haha sijui nitajificha wapi naona nitahama nchi kabisa!Mpwa kuna mfumo mpya wa kuweka majina yetu halisi Jamii Africa? au umemaanisha nini?
Nimepanick maana
Tuulize sisi tuliokuwa tunakesha nae Kisutu court.Hua siwaelew mnaosema JF Kuna usiri, ety kisa kuna fake ID, kwan mitandao mingine hakuna fake ID?
N bc tuu Melo hajabanwa mbupu
Halitumii bundle nyingi, Ila ni vizuri kukaboreshwa kuwepo namna ya kutranslet lugha mbali mbali kuongeza ufanisiExactly 💯 Maxence Melo na timu yake wamefanya kazi safi mno hili jukwaa lipo vizuri sana ndio maana Kila siku lazima niwe nakuja humu jukwaani jf ni jukwaa pendwa sana
Mkubali niwe namuita shem, pleeease 🤗
Siamini kama ni mtego na kama ni mtego basi niko tayari kunaswa.
Aliyekwambia mimi nakukubali ni nani?anatabia ya kusema alioignore wasimjibu mtu wa kuexclude wengine huwa haziivi kabisa 🙂
Uzi ukija jukwaani, ni mali ya wana Jf wote 😊, kuanzia member mpaka platinum membersJamani uzi wa watu huu tuuache
Hii mada itaendelea tukikutana uzi wowote uliopo jukwaa la MMU 😂
Nusrat hupendi kwenda mbinguni?Setfree ni Dr. Slaa
Nahitaji kwenda mbinguni mtumishi.Nusrat hupendi kwenda mbinguni?
Waongo hawaruhusiwi kuingia mbinguni; badala yake watatupwa motoni
Ufunuo 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Hajapata kubwa kulikoTuulize sisi tuliokuwa tunakesha nae Kisutu court.
Wengine tulilia tulipomuona.
Alipata kifinyo ila hakuwa tayari kusema lolote.
😅😅😅Hajapata kubwa kuliko
Melo sasa hv n mjumbe huko kwenye kulinda privacy za watu, hvy yupo chini ya boss wake, lolote lile linawezekana, hvy tusijifanye Tupo salama sana😅😅😅
KGB walikuwa wako tayari kufa ila sio kutaja washirika wao.
Walikufa pasi na kutoa siri.
Inawezekana pia, kila mtu na kihimili cha maumivu yake
😂😂😂Au sio umeanza unafiki tena ndugu yangu