Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Daima mbele nyuma mwiko.Tusitishane bana, twaweza Unda forum yetu pale tunapoona hii haikidhi haja.
Nguvu Moja!!
Daima mbele nyuma mwiko.Tusitishane bana, twaweza Unda forum yetu pale tunapoona hii haikidhi haja.
Nguvu Moja!!
Hahaha 😂Daima mbele nyuma mwiko.
Nitag ili nikujibu mimi mwenyewekimsingi nawashukuru pia, na mshauri aache kukataza watu kuchangia nyuzi kwasababu tu kawaignore.
Nitagsawa nijibu
Mpwa kuna mfumo mpya wa kuweka majina yetu halisi Jamii Africa? au umemaanisha nini?Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).
Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.
Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."
Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
Sawa nimekuelewakimsingi nawashukuru pia, na mshauri aache kukataza watu kuchangia nyuzi kwasababu tu kawaignore.
Mwambie anitag mwenyewe
Hiyo avatar yako nikiiona basi nakuwa mpole kama ng'ombe anayekamuliwa.Sura??
Sura which?
Mtego huo shauri yakoHiyo avatar yako nikiiona basi nakuwa mpole kama ng'ombe anayekamuliwa.
Ila jamani!!
Naam, this is Jamii forum na ndio maana tunaipenda Sana maana tuko huru kujimwagaLakini ndo hivyo watu wana uhuru na wanautumia ipasavyo...tusijudge
Mkubali niwe namuita shem, pleeease 🤗Mtego huo shauri yako
Usije sema hukuambiwa