Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,572
Reaction score
22,926
Tangu kuanzishwa kwa JamiiForums mwaka 2006 hadi ilipobadilishwa kuwa JamiiAfrica 2025, nguvu kubwa ya mtandao huu ipo kwenye usiri wa utambulisho wa members(anonymity).

Uchangiaji unakuwa bora zaidi maana members tunakuwa na uhuru wa kutoa mawazo yetu, kukosoa,kukejeli, kupinga, kupongeza n.k inasadifu slogan ya where we talk openly.

Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!

Mshangazi dot com aliwahi kusema
"JF unaweza kubishana hata na babamkwe na ukamshinda bila nyie kujuana..."

Heshima mbele wakuu,
Nawasilisha.
 
Hoja nzuri,wameilewa , wako makini, Nimecheka hii ya kubishana na baba mkwe!
 
Mkuu,usimwamini MTU mweusi. IPO siku atakubwaga....kwani lazima awe melo? JF ni taasisi ambayo itapata wakurugenzi mbali mbali... Be ware na taarifa zako. IPO siku haya maandishi yako utayakuta kwenye oral interview yako na KAZI itakuwa huna tena.
Writings live longer than humans remember
Sema kweli mkuu 🙄!
 
Poa mkuu. Huu mtandao ushakuwa wetu sema melo tumempa Tu jukumu la kututunzia Siri. Unatuuma tunapoona unakuwa mtandao wa machawa badala ya kujadili hoja. So painful
Sahihi [emoji817] mkuu, machawa wanaboa sana maana wako biased badala ya kusema ukweli wanatetea hata kama jambo haliko sawa!
Anonymity idumu huenda supu ya kokoto ni Waziri 😀
 
Asante kwa kuniheshimisha mkuu japo Mimi ni keyboard warrior 🪖 Niko huku maporini kikosi cha mizinga.
 
Back
Top Bottom