Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

pamoja na ushauri wako PIA WALIOANZISHI HII peremende(asali) ,sidhani watabadilika

sio wajinga
 
Naona wamevimba kichwa, wanataka kuondoa kitu kinachowafanya wawe wa maana, wamefika bei, watajadiliana naacha na machawa
 
Naona wamevimba kichwa, wanataka kuondoa kitu kinachowafanya wawe wa maana, wamefika bei, watajadiliana naacha na machawa
Kama jina limebadilika kuwa JamiiAfrica ni dhahiri kuna jambo laja
 
Lakini ndo hivyo watu wana uhuru na wanautumia ipasavyo...tusijudge
Haha naona mmejitekenya mmecheka wenyewe, mmejiuliza na kujijibu lakini lengo la huu uzi halihusiani na uzi wa Nusratt mkuu, asanteni kwa maoni adhimu! 🙂
 
It always Whistleblower to whistleblowing. JF ikitoa hiyo, haitakuwa tofauti na gazeti la uhuru au UBC/TBC/KBC TVs.
Sahihi [emoji817] Ni kama Telegram ilivyolazimishwa sana itoe u-siri wa taarifa za watumiaji wake!
 
Back
Top Bottom