Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Najivunia kuwa mkatoliki

Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo

Hii imeathiri pote

Machinjioni kesho hawachinji wanyama

Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe

Yaani ni hivi

Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
 
unaumwa wewe!
 
Unawaongelea maskini wa kiwango gani?
 
Najivunia kuwa mkatoliki

Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo

Hii imeathiri pote

Machinjioni kesho hawachinji wanyama

Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe

Yaani ni hivi

Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Ndoto ya mchana
 
Mbona mnapenda kuamini kwenye hakuna?
Hapo unajiona YOKOZUNA mbele ya FIDODIDO
 
Back
Top Bottom