Excuse meDar sehemu gani utapata nyama kesho?
Vingunguti machinjio kesho wanafunga
Jiandae kula mbegu au nafaka
Another fake news from a desperate and deluded pinheaded twattNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Sasa wewe utafaidika na Nini Mimi nikila maharage kesho?Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Mungu aliumba vyote siku ya 6 ambayo siku ya mwisho akamuumba binadamu akampa ruksa ya kuwapa majina na kuvitawalabatakavyo viumbe vyoteHivi kwa nini mungu aliumba dunia yenye viumbe ambao wanauana ili wapate chakula?
Dunia ni kiwanda cha mauti.
Binadamu anaua wanyama ili apate chakula.
Wanyama nao baadhi yao wanawaua wanyama wa aina nyingine ili wapate chakula.
Wakati mwingine hata binadamu nao huliwa kama chakula na wanyama wengine.
Hakika ukitumia akili kumfikiria huyo mungu utaishia kushawishika kivingine kabisa.
Labda butcher za mbuzi katoliki.Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
BAADA YA HAYA YOTE,UNAPATA FAIDA GANI?Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Bullshit.Mungu aliumba vyote siku ya 6 ambayo siku ya mwisho akamuumba binadamu akampa ruksa ya kuwapa majina na kuvitawalabatakavyo viumbe vyote
Wanyama kula wengine huo ndo muujiza na utukufu wa Mungu
Ndo sababu sisi wanadamu wenye akili timamu tunamwabudu Mungu
Unatafakari nini?Niko natafakari Alhamisi kuu
Kesho ijumaa kuu ni siku ya tafakuri kuu kwetu wakatoliki
Hatuna hizo mkuu, tuseme tu biashara itakuwa mbaya upande wa mabucha na machinjio maana tupo wengiSupermarkets zipo, nataka kujua tutapigwa au?
Ukuu wa MunUnatafakari nini?
Akili yako Bado ndogo mno, kuweza kuelewa hata Kwa asilimia 1 ya ukuu na hekima ya MunguBullshit.
Hakuna utukufu wowote kwa wanyama kukulana wao kwa wao.
Wewe ukiliwa na mamba itakuwa ni utukufu wa mungu?