Hakuna cha mungu.Ukuu wa Mun
Akili yako Bado ndogo mno, kuweza kuelewa hata Kwa asilimia 1 ya ukuu na hekima ya Mungu
Baki na upumbavu wako
Hiyo nyama watapata wapi
Labda wachinje wanyama wao
Maharage tunakula Kila siku, hatujawa wakatoliki. Labda sema tukila kitimoto ndo tamaduni za RC directly.Umeingia kwenye sheria na tamaduni za kanisa katoliki indirectly
Sio maana hiyo tuTUMSIFU YESU KRISTO 🙏
Katika Maisha yetu wengi nyama ni ANASA!
Wengi Hatuelewi MAANA/MAUDHUI ya Kutokula nyama IJUMAA KUU!
Mimi ANASA yangu ni kucheza Mziki, Mwingine kupata Kileo, mwingine Pilau, chips...na Mambo kama hayo!
Hivyo PENYE MSIBA NA UCHUNGU MKUU NI NADRA SANA KUSHIRIKI MAPENZI YAKO BINAFI Ila UNAJIZUIA!
NDIO MAANA YA KUTOKULA NYAMA!
TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🤝
Vitu vya kubuni buniUkuu wa Mun
Akili yako Bado ndogo mno, kuweza kuelewa hata Kwa asilimia 1 ya ukuu na hekima ya Mungu
Baki na upumbavu wako
Sio kweliNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Watasema unakufuru bro , wewe itakua wa jehanam moja kwa moja😄Hivi kwa nini mungu aliumba dunia yenye viumbe ambao wanauana ili wapate chakula?
Dunia ni kiwanda cha mauti.
Binadamu anaua wanyama ili apate chakula.
Wanyama nao baadhi yao wanawaua wanyama wa aina nyingine ili wapate chakula.
Wakati mwingine hata binadamu nao huliwa kama chakula na wanyama wengine.
Hakika ukitumia akili kumfikiria huyo mungu utaishia kushawishika kivingine kabisa.
Kufunga sio kujionyesha Kwa watu kama wafanyavyo wanafiki ili wajulikane kama wanafungakufunga mmeshindwa.kukaa masaa kuminambili bilakula chakula hamuwezi mtaweza kuacha kula nyama kweli?mbwa nyie🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Sawa Mtumishi wa YESU🙏Sio maana hiyo tu
Tunaamini kesho ijumaa kuu Yesu atamwaga damu ya thamani hivo tunaheshimu damu ya kila kiumbe
kesho mnafunga mabucha maanayake nini? mnamuonesha nana kwamba hamli nyama siku ya kesho?Kufunga sio kujionyesha Kwa watu kama wafanyavyo wanafiki ili wajulikane kama wanafunga
Kufanya hivo ni unafiki
Kanisa katoliki Lina mziziCatholic wapo vizuri mno hawa kenge wengine wapo tu kukamilisha mission ya Roman Catholic Church.
Et huko Rulenge Ngara bei ya nyama zote (Mbuzi,ng'ombe,kitimoto) inaligana au nilidanganywa?Nipo Ngara Jimbo katoliki la Rulenge - Ngara
Kwa mhashamu Baba askofu Severini Niwemugizi