Sawa ila kesho maarufukuView attachment 3307595Nimepata nyama ina sura ya Donald Trump🤣
Hongera kwa kufunga mjadala. Tumsifu Yesu Kristo.Ni kuheshimu tuu, ukila haina effect, usipokula Haina effect
Wanasema ndio linatawala duniaNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Hizo sheria zimetungwa na nani za kukataza watu wasile nyama Ijumaa?Hizo ni sheria, taratibu na tamaduni za kanisa.
Ni lini Yesu au imeandikwa wapi kuwa kila Jumapili mkusanyike kanisani
Milele AminaHongera kwa kufunga mjadala. Tumsifu Yesu Kristo.
NakupuuzaHizo sheria zimetungwa na nani za kukataza watu wasile nyama Ijumaa?
Siku zote ni siku za kukusanyika! Ni swala la kuchagua ni siku ipi ya kukusanyika,
Matendo2:46-47
Waebrania10:25
Matendo20:7-9
Lakini hizo sheria za kibinadamu walizojitungia wanadamu mf.kutokula nyama,nk hazina nafasi katika Agano Jipya!
Acha kujivunia vitu vya kijingaNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Tuliza makalio we nyumbu, mabucha yatakuwepo km kawaidaNyama utapata wapi?
Butcher zote Zina kufuli
Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Puuza lakini ndiyo ukweli.Nakupuuza