min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Tuache mkuu šKanisa katoliki Lina mzizi
Kuna hao wana calender kutoka Saidia ila Huwa hawaifuta
Ukiwauliza Leo tarehe ngapi wanakwambia Leo tarehe 19 April 2025 kama ilivo Vatican
Tuache mkuu šKanisa katoliki Lina mzizi
Kuna hao wana calender kutoka Saidia ila Huwa hawaifuta
Ukiwauliza Leo tarehe ngapi wanakwambia Leo tarehe 19 April 2025 kama ilivo Vatican
Mbuzi na ng'ombe magonjwa matupuKitimoto 6000
Mbuzi na Ng'ombe 8000
Weka na kuchuja nafaka inakua unyama mnoš karibu simba mkuuBasi tule kuku, samaki na kitimoto
Labda huko kwenu, mimi naanza na supu asubuiNyama utapata wapi?
Butcher zote Zina kufuli
Nita kupigia picha MA bucha 10 kabla ya saa2 asubuiHupati
Safi mkuuu..piga nyama mkuu ongezea na bia kabisa...Ndoto nyevu,ngoja nikanunue steki kesho nichome
Kitimoto hakiliwi na baadhi ya watu,Je Kimeacha kuliwa na Watu wote?Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
UtumwaKwani ule nyama ijumaa kuu?
Au kibri tu
Nipotoke nini tena?Unapotoka
Kwanini msubiri mpaka kesho, nyama za kitimoto zinapatikana usiku huu na hata kesho zinapatikana kila konaNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Tupige mdudu.Mbuzi na ng'ombe magonjwa matupu
Hizo ni sheria, taratibu na tamaduni za kanisa.Nipotoke nini tena?
Kuna mahali po pote kwenye Biblia ambapo Yesu alisema kila Ijumaa tusile nyama ili kukumbuka kifo chake?