Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Ndoto ya jua kali,hakuna atakaye funga biashara,yake,kwa kufuata wachache wasio na maarifa,huli nyama lakini anakula samaki kuku,papa,samaki wakavu,ni kubadilisha kitoeo tu.Labda steki ya dagaa mchele na maharage