unaumwa wewe!Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Supermarkets zipo, nataka kujua tutapigwa au?Nyama utapata wapi?
Butcher zote Zina kufuli
Ntakutumia pichaLabda steki ya dagaa mchele na maharage
Unawaongelea maskini wa kiwango gani?Najivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Ndoto ya mchanaNajivunia kuwa mkatoliki
Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo
Hii imeathiri pote
Machinjioni kesho hawachinji wanyama
Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe
Yaani ni hivi
Kesho taka usitake, uwe mkatoliki usiwe mkatoliki utakula maharage tu
Huo ubunifu wenu haukuwepoHeshimu ijumaa kuu
Kwenye freezer panajazagwa maharage chande?Matajiri mna butcher zenu za maharage?
Nyama choma kachumbari dona, keshoUtakula maharage na mboga mboga
Mbona mnapenda kuamini kwenye hakuna?Najivunia kuwa mkatoliki